Hahahahaha. Asante we pia uko vizuri mnooo.๐น๐น๐น Wewe kisu alooo!
Ndiomana baba Starz alipagawa.!!
Una sura nzuri ya kuombea pesa na mwanaume akatoa zote halafu akakuomba umpe nauli tu katika hizo pesa..!!
Nimeona tracooo kubwa mnooBe free wewe sema..!! ๐น
hahaa rusha picha wewe uliyekazaJanja kaza kidogo, meno ka Umeweka filter
Tante mwanakwetu..!!Mashallah, yaliyomo yamo mwanakwetu ๐ hatariii ๐๐ฅ
VARMmh hii michezo naijua mweeh! Siunakuaga mweupe mbona hapa mweusi
๐น๐น๐น weeh!!Nimeona tracooo kubwa mnoo
kwa nilivyo gangster, server zinaweza goma ku upload aisee.hahaa rusha picha wewe uliyekaza
Sawa tu, najua unataka kunidhulumu. Baki na picha yako mkuu.Mmh hii michezo naijua mweeh! Siunakuaga mweupe mbona hapa mweusi
Mmmh! ๐View attachment 3602217wekeend๐
Mi kujiamini kawaida yangu si winga ๐น๐น๐นHahahahaha. Asante we pia uko vizuri mnooo.
Naanza Kuona kwa nn unajiamini sana
Subutuuuuuu weee๐น๐น๐น weeh!!
Mi traco sina nimevaa kigodoro..!
Umeona?Tante mwanakwetu..!!
Nmeikosa mkuu nyota sina leo
Naomba kazi ๐Mi kujiamini kawaida yangu si winga ๐น๐น๐น
Hakuna kazi ngumu km kumpanga mteja anunue kitu ambacho hajapanga kununua..!!
kaka mi hiyo rangi ina nimalizaga sana.Personality first mkuu๐hayo mengine extra
Mbona ipoNmeikosa mkuu nyota sina leo
Basiii ๐๐๐Nmeikosa mkuu nyota sina leo