Haya bwana wacha mie nikalaze komwe! sijui ndio shakuwa sugu! naona ninamaliza tu chupa na siyumbi kichwa kinaniuma tu bure ndio maana napigaga zangu whiskey tu!Kawaue tu , baba yake pia sina mchezo π
Ingia soba halafu piga uoneHaya bwana wacha mie nikalaze komwe! sijui ndio shakuwa sugu! naona ninamaliza tu chupa na siyumbi kichwa kinaniuma tu bure ndio maana napigaga zangu whiskey tu!
Hmm yamekuwa hayo! na mbona situmii mara kwa mara!Ingia soba halafu piga uone
πππYani nimecheka..!!
Kumbe huwa na mikengele nayo inatakiwa ilowe..!!! πΉπΉπΉ
JF ina viumbe wanachekesha sana..!
Wee Mzab, ulipoteleaaa wapiii? Na kukaanga watu wanafiki kisa hawajakucheki PM kwiooo?acheni unafiki nyie watu wa jf...yaani nilitegemea ningekuwa pm imejaa balaa...mweeee !! hamna ata mtu wakutaka kunijulia hali.
anyways nilikuwa napambania life ndugu yangu mambo yalikuwa magumu zilipigwa penalty mimi na israel, israel penaty yake imegonga mwamba ndio pona yangu. sasa nimerudi full afya ni mwendo wa burudaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nipo kibabu,, mbona haujasinzia mpka saiviUpo we kibibi.
Pita basi mkuunipo kibabu,, mbona haujasinzia mpka saivi
nibless na wew basi hensamPita basi mkuu
Huo uhensam sinanibless na wew basi hensam
mbona u hensam umejaa tele woiiii,,,, yan una sura ya upole wakina selikavu wamekuharib na hiyo efootball yaoHuo uhensam sina
woi nini sasaπ,, dada enu nazidi kuzeeka tuπ₯Woiiiih π€©π€©
Efootball inaondoa chunusi na halala ππππ€ π€ π€mbona u hensam umejaa tele woiiii,,,, yan una sura ya upole wakina selikavu wamekuharib na hiyo efootball yao
Unazidi kuwa na mvuto kadri unavozeeka.woi nini sasaπ,, dada enu nazidi kuzeeka tuπ₯