Tunajaribu kushea moments za mwaka 47 na Vijana wa sasa π€ͺBabu wa bei za jioni.
Jesus π π hii chai ni kavu na haina sukariHabari za mchana mwanamke mwenye shepu lake, hips za kuchana suruali na wala huringi. ShesRise_1
Mwenyewe mshika mitutu π»Twende tukaingalie Gemu ya chama langu la Arsenal hapo juma mosi nasikia wanna big screen.
Inabidi tuwe wote watoto wa Mariam saula wasije wakani paparukia! Na kunipeleka sijui kule wanapopaitaga V.i.p.
Sijambo G shikamoo πΉHujambo
Twanga foto wog πΉKunani tena
Kumekuchaaaπππ
Hakuna cha chai huo ndio ukweli, umebarikiwa sana mamito, yaani mpaka sasa umeniacha najiuliza nlikuwaga wapi siku zote kukutana na mrembo mwenye shape kama kajala πJesus π π hii chai ni kavu na haina sukari
Nimefurahi kukusikia upo mzima wa AfyaSijambo G shikamoo πΉ
Leo! Tukishinda ni susiwe kabisa.Mwenyewe mshika mitutu π»
Hapo sasa tutaenda sawa chino wangu..!!
Noma mwananguπ πHakuna cha chai huo ndio ukweli, umebarikiwa sana mamito, yaani mpaka sasa umeniacha najiuliza nlikuwaga wapi siku zote kukutana na mrembo mwenye shape kama kajala π
Tupia picha G nikuone basi πNimefurahi kukusikia upo mzima wa Afya
Mfyuuuu..!! πΉπΉπΉLeo! Tukishinda ni susiwe kabisa.
Maana nasikiaga tu kususiwa
Coca hasemi uongo ni kweli una demu wa ziwani πΉπΉ
Nyie zenu lini? Nina muda sijawahi ona picha akoTupia wewee NYC Bwoiii. πππ
Tukutane saa tano watu wamelalaKaka mzuri anza wewe mimi nifate..!
Nimefulla hatari hapa kwa hasira ebu njoo tufarijianeCoca hasemi uongo ni kweli una demu wa ziwani πΉπΉ
Chino ushawahi kuona mtu anacheka kwa hasira? πΉNimefulla hatari hapa kwa hasira ebu njoo tufarijiane
Toka ninase kwa toto la kikinga sijawahi paparuka kabisa
Hata hamu ya selfie sina..!!Tukutane saa tano watu wamelala