Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,108
- 41,770
Kunani tenaJamani shangazi wa mwadui umenunua blauzi mpya ๐น๐น๐น
Sasa mbona mnafuta picha fasta hutaki tukusifie kwa kulevel up! ๐น
Em achia phoro hilo waungwana tusuuze macho. Jiamini shangazi basi..!!
cocastic nimemiss kukuona udugu njoo uselfike darling Tayana-wog nipe mapicha ya mambele mi nataka kuiga fashooonn na pozi..!!
Ukala sikukuu mwenyewe
Eid ipo Bado.Ukala sikukuu mwenyewe
Bwasheee ๐Ukala sikukuu mwenyewe
Ila sitaki ukoko mimiEid ipo Bado.
Inakuaje mangi?Bwasheee ๐
Umepotea sanaa weka selfie ๐คณ tukuoneeInakuaje mangi?
Ngoja niangalie moja bwasheeeUmepotea sanaa weka selfie ๐คณ tukuonee
Nyama na soda.Ila sitaki ukoko mimi
Nipo radar ๐โบ๏ธNgoja niangalie moja bwasheee
zamu yangu imeshapita mkuu, nawasubii nyinyi pia!Tendea haki uzi
Weka picha ntakusemea kwa binti wa zamanii โบ๏ธzamu yangu imeshapita mkuu, nawasubii nyinyi pia!
Sijawahi๐
Hahahhaha ku nini๐Sijawahi๐
kiephen kinakuja kukuita mweupeHahahhaha ku nini๐
Chuki dhidi yangu Bwashee ๐kiephen kinakuja kukuita mweupe
kikisikia flani mchaga tu basi kinajua ni mweupeChuki dhidi yangu Bwashee ๐
Kuona saa kama hiyo.Hahahhaha ku nini๐
Mimi saa ndio ulevi wangu๐ njoo uchukue moja ๐Kuona saa kama hiyo.
Kukata mzizi wa fitna ni kuweka Black & white tu๐kikisikia flani mchaga tu basi kinajua ni mweupe