Kwani baba J bado tu unahangaika?
inaitwa 平安魅力 or safe charm in english
Nanunua mboga ya mwezi mzima.[emoji225][emoji225][emoji225]
View attachment 1289108
Wapi tena?
Mbona unatuchungulia..
Huyu ht mimi mmemfundisha aseeh[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wewe ni mwanafunzi wangu kabisa, unaanza form 1 mie niko mwaka wa4 kazini.
😴😴😴😴😴 Nipe kabia maana usingizi hakuna
Huyu jamaa unachonga naye kama namfananisha na jamaa mmoja hivi mtu wa Musoma/Mara
We humuoni hata Watu8 anaibiwa mke mbele ya macho yake huku ako anachekelea. Wana uzubaifu wa asili.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app