Ni migo migo!! Mapipa iyo
Ni migo migo!! Mapipa iyo
Na lile jengo refu linaonekana ni la afande kova;
chini ya jengo utakutana na watu wamejaa vitambi kwa ajili ya kazi ya udalali wa magari.
Ni migo migo!! Mapipa iyo
Na lile jengo refu linaonekana ni la afande kova;
chini ya jengo utakutana na watu wamejaa vitambi kwa ajili ya kazi ya udalali wa magari.
Comrade! Hicho kidubwasha kinacho ning`inia kazi yake nini?
Duuh! Haya naweka nukta.inaitwa 平安魅力 or safe charm in english
'ping an mei li'...jinsi unasoma hiyo lugha usiyoijuaDuuh! Haya naweka nukta.
Hahahaha sawa boss wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasukuma wana upekee wao peke yao.
We humuoni hata Watu8 anaibiwa mke mbele ya macho yake huku ako anachekelea. Wana uzubaifu wa asili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa,, wana sifa fulani hivi amazing yaani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kichina?