Wanyakyusa ni waongeaji sana na wakarimu. Its fun being with them, sijawahi ona mnyakyusa kapooza pooza kama msukuma.[emoji85][emoji85][emoji85]
Watu8 akija mwambie nimekwenda kutafuta pension maana yeye kashindwa kazi.
[emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571]
Hahah...hatarious mkuu...Yaani Atoto hajaacha kubadilisha Identity tuu...?
Espy
Atoto..
Sasa Jael..
Kazi ipo , siku tunakutana huko mtaa wa 8 unajikuta unatongoza mama mkwe tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyakyusa ni waongeaji sana na wakarimu. Its fun being with them, sijawahi ona mnyakyusa kapooza pooza kama msukuma.[emoji85][emoji85][emoji85]
Watu8 akija mwambie nimekwenda kutafuta pension maana yeye kashindwa kazi.
[emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571]
Ila sisi ni washkaji sanaa.; watu poa sana pamoja na ubabe wetu teh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] doh siyo kwa sifa hizo,, ila hapo kwa wasukuma kuna mtu natamani nimtag ila najua atanichamba hadi nichanganyikiwe..
Tena unazinguliwa kweli[emoji1787]Teh ukizingua unazinguliwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah...mi imebidi nichekee tumboni tu maana nipo sehemu watu wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani baba J bado tu unahangaika?
Nawaza pension[emoji1787]
Wanyaki weraaàaaaaaaaaSanaaa Aiseee,, Napigilia Msumari..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha...leo umewasifia Wanyaki....kuna mtu kakuandikia...
Nakuja huko huko ati umeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...hujatulia wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheka tu washuhudie wendawazimu wako.
Mimi kaka yake from another mother...[emoji16]Kwahiyo tangu lini Sakayo akawa dada yako.
Huh!!!
Comrade! Hicho kidubwasha kinacho ning`inia kazi yake nini?