Kawa mpiga kelele tuYupo alikuja leo kunipigia kelele
Hilo limeisha.hebu ongea nae kwanza labda naweza ambulia chochote
hauogopi kupofuka? π€£Siti ya mbele kabisa nikingojewa kubarikiwa na picha yakoπ€
nawasubiri π€Hilo limeisha.
Si mlisema niwe nashinda huku ili mnikuzeπππhauogopi kupofuka? π€£
Mkuu ulikuwa na jambo gani?
Dah! πYupo alikuja leo kunipigia kelele
Hakuna kingine cha maana unanfanya siku hizi zaid ya kunipigia kelele πππDah! π
Fungua PM hio πHandsome boy weka nyingine tuteseke..!!
πΉπΉπΉ Bibi ananipa burudani sana..!!Bibi yako nimempendaa bureee wallah, [emoji23][emoji23][emoji23]
Dada jamani khaaaa..!! πΉπΉπΉNimechelewa kuonaπ₯²π₯²Vipi yeye sio kama Ngosha?ππ
Aisee kuna uzi niliupitia jana nilikuta comment zako nilichoka..!! πΉπΉπΉnilishafuta usiku boss π
πFungua PM hio π
Nimekanwa nikakanika ππKwahiyo Braza kaka umemkana Tayanaπππ€
ππ
Mambo yamekunyookea, penzi zito kilo 200 ntakufanya nini mimi kijana mtakatifu ππHakuna kingine cha maana unanfanya siku hizi zaid ya kunipigia kelele πππ
Khalas
Hivi yule mpenzi wako waifu material amepotelea wapi?Selikavu anamkataa Tayana na tulishamaliza kabisa dadeqπ
Yupi tena mkuu π€Hivi yule mpenzi wako waifu material amepotelea wapi?
Mlipendezana sana yani ππ