Selfika na JF: Snap it. Show it

Utashangaa mbonaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Chunusi hawapo? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Bibi yangu aliwahi kunipa story eti akiwa binti aliwahi kukoswa na chunusi..!! Sijui alikua ananipanga?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Chunusi hawapo? [emoji81][emoji81]
Bibi yangu aliwahi kunipa story eti akiwa binti aliwahi kukoswa na chunusi..!! Sijui alikua ananipanga?? [emoji81][emoji81][emoji81]
Story za abunuasi hizoo, khaaah.
Chunusi hiyo kwiooo? Bibi ako nae heka heka nyingii eeeh??
 
Story za abunuasi hizoo, khaaah.
Chunusi hiyo kwiooo? Bibi ako nae heka heka nyingii eeeh??
Nilijua tu alikua ananipanga ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Eti ziwani aliona chunusi yupo km mtu ila anakubeba anazama na wewe kwenye kina kirefu kisha anakunyonya damu yote..!!

Unakuja kuibuka baada ya wiki ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Huwa wakoje?, basi ndio kwetu babu alikuwa chief eneo fulani
Sijajua kiundani kuhusu wao sana, ila nilio wafahamu mie, wako very loyal, humble,

Kuna m1 nilipanga nae nyumba 1, aseeh abarikiwe sana yule Dada, sahivi ni Mwalimu huko Same Kilimanjaro.

Afu alikua anaishi Low key, kumbee kwao mawe yako ya kutoshaa.
Aloooooh.
 
Nilijua tu alikua ananipanga ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Eti ziwani aliona chunusi yupo km mtu ila anakubeba anazama na wewe kwenye kina kirefu kisha anakunyonya damu yote..!!

Unakuja kuibuka baada ya wiki ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Stori kidogo na picha.
 
Nilijua tu alikua ananipanga [emoji81][emoji81][emoji81]
Eti ziwani aliona chunusi yupo km mtu ila anakubeba anazama na wewe kwenye kina kirefu kisha anakunyonya damu yote..!!

Unakuja kuibuka baada ya wiki [emoji81][emoji81]
Bibi yako hapanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Amevukaa level za Shigongo, lol
 
Kwetu wengi ma chotara, kasoro sisi vidume kadhaa damu ya mzee ilikuwa kali.

Kawaida mawe sio kitu sana kule, utu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ