eddy umeona?π π πHizo za baadae ππ
Wewe sasa na wahalifu wenzio ndo mnatumia hizo ndevu πΉπΉπΉna fanyia sana, hadi mtu anatetemekaa kama tetemeko la ardhi na hizi zingine za ziada ππView attachment 3590203View attachment 3590204
VUnja kibubu hicho kakaUnakosea sasaπππΎ
Nimeonaπeddy umeona?π π π
Hujui tuuπVUnja kibubu hicho kaka
Bado upo, nataka nipite na suti ya kulaliaLini utatuma nijiandae kukuona?
Kwanini umefunga kama huna?Mbona mimi sina na kufuli nimeweka jamani..!!
Halafu wewe ndo hujui, wenye pm zilizo wazi ndo wana watu wao humu wanachekelea mitongozo ili waonyeshe mababe zao wawarushe roho kwamba wanafatiliwaβ¦!! πΉπΉπΉ
Sawaa bac TTCL itatumikaHujui tuuπ
Hela bado sijashika mkuuπππΎ
Nimefika pita πBado upo, nataka nipite na suti ya kulalia
Malizaπ.Sawaa bac TTCL itatumika
Dk 1 tu imefutwaNimefika pita π
Nimefunga tu sina mtu yoyote humu zaidi ya utani. Siamini mapenzi ya JFKwanini umefunga kama huna?
Watu wanaoana humu jukwaani, umetendwa nini? Jf ni kama sehem yeyote ile kwenye jamii, unaweza kutana na mtu sahihi ama mtu mbaya yote yanawezekanaNimefunga tu sina mtu yoyote humu zaidi ya utani. Siamini mapenzi ya JF
Ambition sina la kusema πββοΈπππ
Sina mtu JF sasa natendwa vipi? πΉWatu wanaoana humu jukwaani, umetendwa nini? Jf ni kama sehem yeyote ile kwenye jamii, unaweza kutana na mtu sahihi ama mtu mbaya yote yanawezekana
Nimeona nimechoka mimi dah!! π₯Dk 1 tu imefutwa
Yupo alikuja leo kunipigia kelele
Ko ma mkwe ni Mkinga? Woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23]Ninao wa kutosha ...
Tena hutopata tabu maana Bi mkubwa mkinga kwahiyo unapita moja kwa moja bila kupingwa[emoji2][emoji2][emoji2]
Nilipita mchana mbona.Nishakusahau yako unaweka lini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Utanikuta nipo huko[emoji2]