Wamefunga PM zao mpk wakufungulieWakuu, kwanini baadhi ya watu siwez kuwatumia Private message? Ni uzee ama nakosea sehemu. Wakati wote napata jumbe “kumradhi kuna changamoto kidogo”
Owaa wee😃😃kula maisha mkuuLeo mapema kabisa baada ya kupika uji asbhi akatakoa.
Mida ya sa tano akarudi ila saa tisa anatoka tena anataka aende beach ⛱️.
Mi kanipa.likizo niende kukagua ofisi yake kule chanika
Nakula kweli kweli yaani nakula sana 😂😂😂😂😂😂Owaa wee😃😃kula maisha mkuu
😃😃 Kazi unayoNakula kweli kweli yaani nakula sana 😂😂😂😂😂😂
Sema inabidi ukubaliane na kazi zao maana upumziki
Nachoka mimi..😃😃 Kazi unayo
Sahivi wamejaa tele 😅Umeniotea 😹😹😹
Haya weka sasa leo tupo peke yetu hapa..!!
Maneno mengi picha meyoo
Ya uso ipo wapi?
Hahha umeona.Maneno mengi picha meyoo
43 😅Ya uso ipo wapi?
Mbona kiatu kidogo unavaa namba ngapi
Umenizidi kidogo!43 😅
Yeah 43 ni saizi ya kati tu na sio kidogo wala kikubwaUmenizidi kidogo!
Ukiweka ya uso niiteYeah 43 ni saizi ya kati tu na sio kidogo wala kikubwa
Hahha za uso mbona zote unazijuaUkiweka ya uso niite
Muogope Mungu! Nilikuona liniHahha za uso mbona zote unazijua
Clement mwandambo Poor brain😃😃Nachoka mimi..
Nachoka
Kubabeki zao 😁😁😁Wamefunga PM zao mpk wakufungulie
Nipo na rafiki yangu hapo tumetulia tuUnaniudhi