Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio lamomy huyo ulimuahidi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
No 39, tuma DHL sio mpk uje huku uswekeni.

Usije ukapata mafua ya ndege bure..!! ๐Ÿ˜น
Inabidi niitafute ile comment. La sivyo nitapigwa za kichwa nakumbuka hadi size aliniambia jina ndio nimesahau. Nyie wengine nitawafikiria ila sio sneakers๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธโ€โžก๏ธ
 
Si umesema bi mkubwa wako mkinga?
Kumbe Mwaisa? Ndiomana una majibu km ChatGPT ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wanyaki hawana nidhamu ya uoga na wanasimamia wanachokiamini..!!
Yeah ni mkinga lakin unajua tunafata kwa mshua...

Hii issue ningekuwa mgeni sawaa nimekuwepo kipind chote nimeona yaliyojiri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ