Selfika na JF: Snap it. Show it

Shem wewe ni ChatGPT?

cocastic umepata mume wa ndoto zangu..!! πŸ₯°πŸ₯°
 
Ouyeaaaaah!!

Naomba uchague kati ya PS5, na [emoji385] ukasajiri wachezaji kwa eFootball, nipo kukuleteaa.

Jibu limenyooka na halina kipengere, labda awe nacho yeye.

[emoji122][emoji122][emoji122]
Mpelekee haraka huyu mwanaume ni wale wanaopatikana mara moja kwa karne..!! πŸ”₯πŸ”₯
 
Udugu leo jpili napika pilau njoo ukate salad 😹😹😹
 
Ukitoa waha kuna wakinga aiseee sisi ndio yule Tomaso hatukubali kirahisi..!! [emoji81][emoji81][emoji81]

Nakwambia hivi, coca ungemtumia huo muamala wala wewe usingetumia nguvu kuniaminisha. Yeye mwenyewe angepiga P.A hapa..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu, kwamba mie ni lopo lopoo??
Kaweka kweli muamala, na ushaishaa atiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…