Selfika na JF: Snap it. Show it

Namfahamu, sio jana wala leo ni miaka sasa. Jiepoushe na mahusiano au hata utani wa mahusiano na lgbt. Tanianeni vitu vingine lakini sio kuitana wapenzi, haijakaa sawa hii
Sawa mkuu, Ila hadi hapa nakiri kuwa ushauri wangu umeupuuza. Kila la heri wewe na coca kwenye mahusiano yenu, mjaaliwe mpate na mtoto(Kama itawezekana)
Iman yangu haijanifundisha kumjudge mtu kwa lolote lile

At the end we are just Human beings we ain't perfect no body is perfect
 
Iman yangu haijanifundisha kumjudge mtu kwa lolote lile

At the end we are just Human beings we ain't perfect no body is perfect
Ni kweli hatuko perfect lakini hii kuitana wapenzi haijakaa sawa mkuu

Huyo dogo nimehangaika nae miaka mingi kujaribu kumbadili japo ngumu lakini sijakata tamaa, sasa nikiona na nyie ambao mlipaswa kusaidia kumbadili Ila mnamuita mpenzi inakua inakatisha tamaa
 
Sawaa mkuu
 
Ouyeaaaaah!!

Naomba uchague kati ya PS5, na [emoji385] ukasajiri wachezaji kwa eFootball, nipo kukuleteaa.

Jibu limenyooka na halina kipengere, labda awe nacho yeye.

[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Namfahamu, sio jana wala leo ni miaka sasa. Jiepoushe na mahusiano au hata utani wa mahusiano na lgbt. Tanianeni vitu vingine lakini sio kuitana wapenzi, haijakaa sawa hii
Mwenzako alikuomba uthibitisho kwa hayo madai yako, hujatihibitisha, unaishia kuweka maneno matupu.

Haya mueleze hapa jinsi unavyo nifahamu, nakupa ruksa na umpe picha zangu zilizo wazi, au laah umueleze nikoje ki muonekano.

Ili upate afueniii, hebu usivuke mipaka plz.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila Cantri unachekesha hadi sio poaa. Poleee kwa kutesekaa Alooooh.
 
Coca lengo langu ni kukusaidia, kama hutaki msaada wangu ni bora useme kuliko kuanza kunipiga mikwara usiku usiku hivi au unataka nisilale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…