Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakika Mkuu

Kutembea pekupeku nimeshindwa japo zamani niliwahi kuweza, nahisi hii kuvaa viatu muda mwingi kuna fanya unyayo kuwa laini hivyo kushindwa kustahimili kutembea peku
nyumbani na ofisini huwa natembea peku kabisa, inategemea na mazingira pia. Hata hivi viatu kwangu naona vina kauzito japo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…