Yaani hatariiii [emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana!! [emoji81][emoji81]
Mpopo huyo anataka kutupiga waabeshi..! πΉπΉShem yuko mbele ya mahitaji, wee huogopiii? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Shem mbona unaanza kunilainishaa? Vibaya hivyo ujue?Njoo PM sasa, alafu mie hata sitaki email wala namba ya simu. Bali nipatie tu account ya number basi.. nikuwekee mapesa, ningekuambia LIPA NAMBA ila hiyo ita funua uhusika wenu [emoji16][emoji16]
πΉπΉπΉ Mpopo ana taarifa zetu zote za JFHapanaaaa!! Kwa huyu natuliza uroho wa shilings. [emoji23][emoji23][emoji23]
Junior huyo bado hata hatumuwazii kumfanya awe Proffesional Engineer, na anavyo nikazia huku, kwenye panel nitamkataaa kama maji πππWee jamaa Iβd yako maarufu ipi? πΉπΉ
Maana una details zote za humu mtsiewww!!
Nakuambiaaa [emoji23][emoji23][emoji23]Mpopo huyo anataka kutupiga waabeshi..! [emoji81][emoji81]
Hapoo sasa, sijui kaagizwa na nani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Mpopo ana taarifa zetu zote za JF
Yani huyu wa Lagos anaishi JF πΉπΉπΉSijui anatoka Abuja mtaa upii, Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nakusubiri ukuje, mie natumaga tu helaaa ππ[emoji23][emoji23][emoji23] Shem mbona unaanza kunilainishaa? Vibaya hivyo ujue?
Haya kaoneshe huko PM hizo dollars, awww
Tayariiiiiiiiiiiiii nisha kudakaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Junior huyo bado hata hatumuwazii kumfanya awe Proffesional Engineer, na anavyo nikazia huku, kwenye panel nitamkataaa kama maji [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaaniii, JF ni kukaa nayo kimastaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Yani huyu wa Lagos anaishi JF [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] naijuaa hiyooo.Ndio nakusubiri ukuje, mie natumaga tu helaaa [emoji16][emoji16]
Na taarifa za mzabzab unazo? πΉπΉπΉ
Ukute ni kantry, [emoji23][emoji23][emoji23]Na taarifa za mzabzab unazo? [emoji81][emoji81][emoji81]
Wewe bana taja id yako ya zamani basi
Mzabzab ana ujinga km huu ujue πΉπΉUmejuajee? Toka mda nilisema huyu sio mgeni hapa Jijini selfika, ndo nili target Mzabzab au Wige. [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kunidakaa namna hiii.Tayariiiiiiiiiiiiii nisha kudakaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbee ni weweee!!
Nakuwa busy sana, kama sahii nimetulia nimechoka mbaya. acha nipumzishe hili fuvu tuLime fanyaje?, au liko tiresome sana π
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui nachekaa ninii atiii, woiiiihMzabzab ana ujinga km huu ujue [emoji81][emoji81]
Huyu mwenyeji kaamua kuja na id mpya afanye illegal fishing..!!
Afu nyavu zake zina matobo madogo anataka kuvua hadi dagaa..!! [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa utajuaje km ndo mie? Ukute nishapita huko tayarii? Na ulishanisarandia manuvaa.Huwezi kunidakaa namna hiii.
Tuma account mrembo.. kunijua ni ngumu, ila jua nipo kwenye body ERB sasa upangiwe niwe .... huipati ng'o PEng [emoji16][emoji16]