Aaah wapiii!! [emoji23][emoji23][emoji23]Ohoo.. Cairo ya masaki banaaa.
mbona unaniangushaa mrembo
πΉπΉπΉπΉ Dah!Nitumie ya dollar basi, japo hizo bank za ushirika ( wakulima ) bank za boom hizo, sio hadhi yako kabisaa.. π
ππ basi tuma account number uje kutoa ushuhuda, mnatembelewa na malaika ila mna mkataaa[emoji23][emoji23][emoji23] Wee tusha sanukaa, huu mchezoo aseee!! Lol
Hapanaaaa!! Kwa huyu natuliza uroho wa shilings. [emoji23][emoji23][emoji23]Tuma account uwekewe mpunga [emoji81][emoji81][emoji81]
ππ usingushe mtoto mzuri,Aaah wapiii!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui anatoka Abuja mtaa upii, Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Dah!
Wewe kweli mpopo.
Haya weka account yako uliyokua unachukulia mkopo wa HESLB uokote..!! πΉπΉπΉEm niachee uduguu plzzz!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa haishibishagi ujue. Lol
Wee kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] usingushe mtoto mzuri,
Ningewaonesha masalio harisi sema ndio ivyoo.. lengo langu mie sio hiloπΉπΉπΉπΉ Dah!
Wewe kweli mpopo.
Huyu amevuka Level kabisaa, naogopaa atiii [emoji23][emoji23][emoji23]Haya weka account yako uliyokua unachukulia mkopo wa HESLB uokote..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
πΉπΉπΉ mxiewwwwDollars anazisikia redioni na kuziona wakati wa taarifa ya habari kipindi cha Bureau De Change.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Onesha kiduchu tu, ili tuaminii [emoji23][emoji23][emoji23]Ningewaonesha masalio harisi sema ndio ivyoo.. lengo langu mie sio hilo
Ko hutakiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] mxiewwww
Sawa Obama lete connection hiyo πΉπΉπΉπ nikupe connection ya Kamal, role model wako, akupe dondoo zanguu.. naona kama una mashaka mashaka huki nimejitokeza bonge la bwana..
Nimecheka sana!! πΉπΉSiishiwi heka heka uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo PM sasa, alafu mie hata sitaki email wala namba ya simu. Bali nipatie tu account ya number basi.. nikuwekee mapesa, ningekuambia LIPA NAMBA ila hiyo ita funua uhusika wenu ππOnesha kiduchu tu, ili tuaminii [emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno hayavunji mfupa atiii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee jamaa Iβd yako maarufu ipi? πΉπΉWasi wasi wa nini muhandisi.. Ujue mie no senior kwenye gape nimeshakuwa consulant hadi bank ya dunia.. usichukulia poa.. kiutani utani mtapishana na ma dollar
Umejuajee? Toka mda nilisema huyu sio mgeni hapa Jijini selfika, ndo nili target Mzabzab au Wige. [emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Obama lete connection hiyo [emoji81][emoji81][emoji81]
Halafu unakuta parody la mzabzab lipo kutuchora hapa..!!