Selfika na JF: Snap it. Show it

😻😻😻😻😻 woooww
Edo kama Edo awwwww uko muhanshamu πŸ”₯πŸ”₯

JF ina wakaka wazuri afu wa mwaka wa mbele..!!
Aiseee Edo umeoa?
Mbona km vitu vyangu kabisaa..!! 😍😍
Aghaaaβ€οΈπŸ˜‚
You the first to say this. Au dem wangu mnafikiπŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Demu wako mnafki hajui vitu vizuri..!!
Gentleman km wewe hata kufokewa haitakiwi..!! 😹😹
Screeshot takenπŸ’―
Mtu wa maana weweπŸ«‚
Na nikamuoneshe hii aache maringo sasaπŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Hela wavhukue tu sio case
Ila muhim kuondoka malawi🀣🀣🀣
Ndio ujieleze vizuri na uwe na sababu ya kueleweka unaenda kufanya nini huko..!!

Nyie watu wa makanisani hiyo fursa ndio nzuri unasepa mazima. Siku ya kurudi unawaacha wenzio unazama mtaani..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…