Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,623
😹😹😹 Sneaker nilikua navaa plain si shots wangu akanifundisha kuvalia vikuku 🤣Hapo kwenye sneaker 👟 hapo🔥🔥🔥,.
Sema kwa mguu huo kiatu chochote ukivaa lazima uwake👌
Basi siku hizi nimekua hamnazo kila kiatu navalia kikuku 😹😹😹