Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,549
- 7,619
Haya twende kazi 😹😹Pacha si ni familia ujue, hebu ruka chap 😆
Haya twende kazi 😹😹Pacha si ni familia ujue, hebu ruka chap 😆
Hizi rangi mtakuja kuni fanya nidate, Chica Gee kani vuruga, we nae una pita mule mule.Haya twende kazi 😹😹View attachment 3586467
Sijawahi kuwa msukuma Arifu, lini na kwanini 😂Wasukuma na rangi za udhurungi hatuwatoi 😹😹😹
Oya selfika tuone rangiLabella uduguuu wee ni Halfcast wa kwendaaa!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Rangi, unywelee, hilo Pullover hoodie nimeikubalii km yangu na mie ni nyeupee, nilimpora Ba tamu.
Uduguu unawakaa huitajii [emoji363]wala [emoji362]. Awwwww!!!
The shooooose🥰Ilikuwa video ya jana live band uduguu 😹😹😹
[emoji23][emoji23][emoji23]Wasukuma na rangi za udhurungi hatuwatoi [emoji81][emoji81][emoji81]
Uduguuuuu tishaaaa sanaaa, [emoji91][emoji91][emoji91]Ilikuwa video ya jana live band uduguu [emoji81][emoji81][emoji81]
Awwww 🥰🥰🥰Labella uduguuu wee ni Halfcast wa kwendaaa!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Rangi, unywelee, hilo Pullover hoodie nimeikubalii km yangu na mie ni nyeupee, nilimpora Ba tamu.
Uduguu unawakaa huitajii [emoji363]wala [emoji362]. Awwwww!!!
😹😹😹 Tunawajua wasukuma mpo wanne humu wewe, nyani, kiranga na shimbaSijawahi kuwa msukuma Arifu, lini na kwanini 😂
🔥🔥🔥The shooooose🥰
Awwww 🔥🔥🔥Uduguuuuu tishaaaa sanaaa, [emoji91][emoji91][emoji91]
Hapo kwenye sneaker 👟 hapo🔥🔥🔥,.🔥🔥🔥
Jirani mi mpenzi wa viatu, afu siku hizi napenda mid heels na sneaker..
Kuna viatu vipya sijawahi kuvaa na sijui navaa lini 😹😹
Noumerrrrrr!!! Uduguuuu hiyoo rangiii sasaaa.[emoji8][emoji8][emoji8]Awwww [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Hiyo hoodie ni full up n down uduguu..!!
Shem wangu ba tamu anapitia mateso sana [emoji81][emoji81][emoji81]
Sneaker humpori kweli? Au size za miguu haziendani? [emoji1787]
Woyooooooooh!!!! [emoji91][emoji91][emoji91]Awwww [emoji91][emoji91][emoji91]
Live band ina mzuka huchoki.
Nyieeeeeeeee 🥰🥰🥰🥰🥰Tsaaaappppp!!!
Kuacha kutafuna kucha nimeshindwa udugu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nachekaa niniiii? Auu baaasssss!!Nyieeeeeeeee [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Udugu Igweeeeeeeeeeee
Igweeeeeeeee
Igweeeeeeeee [emoji8][emoji8][emoji8]
Hivi wanaokuponda sijui nyoko nyoko washawahi kukufikia hata robo?
Pisi ya kwenda ya shem wangu ba tamu woyooooooooooo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Mamaeee Southern Highland staaaand up