Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23] ila JF ukikaa vibayaa unajikuta unaweka mpodido wako kwa pm ya mtu na hujaombwaa, wakaka ni wazurii humuu.
Awwwww!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Uduguu Umeanza kunifanya nionekane chizi ujue..!!

Hapo kwenye mpodido pm ndo hataree ๐Ÿคฃ
Watu waliweka bila kuombwa Halafu wakabaki kila mmoja anatazama wa mwenzie wanaume wa pm wapuuzi sana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Wee ni mzureeee [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji91][emoji91]
Afu nikuulize Dear, hivi Rasi hadi kuwa km zako ni mda gani?

Maana kuna mdada alianza kufuga, baada ya km mwaka na kdg akazitoa na hapo hazikua kubwa.
Asante sana Dear ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Zangu nina miaka 6 sasa ndiyo zina urefu huo
 
Boss kubwa huyo si OG sasa huyu ni mchepuko, wa kuitwa R ni lizuri hili likaka, Limeru la kutoka Chugaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona Felista, [emoji23][emoji23][emoji23]
Una mpaka na mchepuko humu wakati mimi hata bwana wa kuzugia sina ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Uduguu wewe na dada Feli naomba namba za waganga wenu puliiiizz ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hatariiii wakaka ni wazuriii humuu, nguvu ya kukataa kuweka mpodido unatoa wapiii? Aweee!!

Nimemiss kina Babu miga na Wige, sijui wamepotelea wapi na mavazi yao mengine humu hatujafanikiwa kuyadaka. Lol

Umesahau Babu miga heka heka zake? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ