Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona kuniwah weka meno yale meupe bhana yani yamenishawishi na mm nikaweke senyenge sasa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii nimecheka sanaa.

Kuna mtu huwa anasemaga, anayefanya French kiss na mie, inabidi alambe na meno kabisaa. Mie ananiachaga hoi hatariii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii nimecheka sanaa.

Kuna mtu huwa anasemaga, anayefanya French kiss na mie, unabidi alambe na meno kabisaa. Mie ananiachaga hoi hatariii.
Yani bhana hatari kilasiku nikikaa kwenye kioo nacheka hatari senyenge zinanihusu ile picha naikumbuka hadi leo 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…