π€πΉπΉπΉ Tulia wewe mbona unyama mwingi hapo.
Rangi ya mtume tenaπ πHapo umechangamsha kijiwe haya tupia zile zenyewe sasa nimemiss kuona ile rangi ya mtume min π»
Mm ndo hua nafanya usafi kwenye ofisi yako rais ila ndo hvy hua hunioni mana Nyie maboss mlisema hamtaki kutuona mana gari la taka nalo taka πAcha ufala, mi mwenyewe nasubiri niwe mkubwa ka wewe.
Huoni mi raisi wa ma jobless pro max
Nilikuona rodeo, mm Nilikuwa nafanya usafi Kwenye duka fulani hvBwashee mimi pamba nachukulia , Rodeo Drive (Beverly Hills) na ni mwendo wa gucci , dior au balanciaga π π π
Eeeh min πΉRangi ya mtume tenaπ π
Nakuzoom tuπ€£π€£π€£πWog Wog mwenye vogue zake, do ze needfull mahi wangu..
Fanya jambo, tuonyeshe mifashoooonn ya ki vogue vogue π»Nakuzoom tuπ€£π€£π€£π
HahahaFanya jambo, tuonyeshe mifashoooonn ya ki vogue vogue π»
Za chachii sitaki, lete midude ile yenyewe yenye vokesheni kali kali π₯Hahaha
Zipi za vokesheniiiiii au chachiiikπ€£π€£π€£π
MadharauπEeeh min πΉ
Kweli bwashee hata mimi nilikuona na bukta lako la Chelsea, nikiwa kwenye kitu cha Bentley Continental ππNilikuona rodeo, mm Nilikuwa nafanya usafi Kwenye duka fulani hv
Kweli bwashee hata mimi nilikuona na bukta lako la Chelsea, nikiwa kwenye kitu cha Bentley Continental ππ
Angalia vizuri, yule chokoraa mrefu ndio mimi πMm ndo hua nafanya usafi kwenye ofisi yako rais ila ndo hvy hua hunioni mana Nyie maboss mlisema hamtaki kutuona mana gari la taka nalo taka π
π€£π€£Za chachii sitaki, lete midude ile yenyewe yenye vokesheni kali kali π₯
Njoo sasaZa chachii sitaki, lete midude ile yenyewe yenye vokesheni kali kali π₯
Tayana...Njoo sasa
"To the engine you" πKijana wa kisomali nimepita
View attachment 3585599
OyooooTayana...
Nimepitwaajee na mpiga nyeto mkuu, [emoji23][emoji23][emoji23]Wooowww [emoji76][emoji76][emoji76][emoji76]
Jamani kumbe JF ina mikaka mihanshamu hivi?
Code ya chini unyama sana [emoji8]
Jeans imetulia mahala pake, mpare wa moto weyeee [emoji91][emoji91][emoji91][emoji76][emoji76]