Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kweli wazee hatuna bahati kabisa, tungekuwa tuna meno tungejitahidi hata kidogo....ila kwa uzee huu ni kula kwa macho tu πŸ™Œ
unakula kwa macho alf unameza kwa hisiaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† pole sana
 
Japo hujatutumia yako nawe tujionee

Au huna huruma na wazee tumekuwa macho hadi muda huu na tusione kitu 😜
nishaselfika mara kibao babu, ila wew ndo hauja thubutu, hebu tupia hata mkono wajukuu tupate baraka zakoπŸ˜‹
 
nishaselfika mara kibao babu, ila wew ndo hauja thubutu, hebu tupia hata mkono wajukuu tupate baraka zakoπŸ˜‹
Basi sina bahati

Self zangu zipo humu za kutosha, ukitembelea pg 17,453 utazikuta ama ukiweza sogea hadi pg 19,320 hivi utakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…