Humu kuna hadithi nyingi za kutunga na kufikirika, ukizitilia maanani kwa umri wetu unaweza kupandisha kisukari bure πnikikumbuka huwa nacheka kama mwehuπ π π π
You don't have to worry, all is good heresorry kama nimezingua
ushuhuda wa kipi mjukuumimi ndo nitaleta ushuhuda ila kwa saivi tulia hivyo hivyo babu kijanaππ
ushuhuda wa kuzeeka kwakoππushuhuda wa kipi mjukuu
babu yenu nimezeeka ujue
Ooh haya mweye sameja wakehuy sameja hajawahi kukubahatisha huwa mnapishana
nipo chonjo
Kaa TAYAR ni shwaaaaa then naomba uijibuunipo chonjo
TrueeOoh haya mweye sameja wake
Nakungojeaa hapa Leo nibahatikeeHujawahi kuona niki selfika kumbe π π
Huyo sio mimi ila nime selfika mala nyingi shahidi huyu
win-one
Nakusalimia mzee wangu. Mzima weweushuhuda wa kipi mjukuu
babu yenu nimezeeka ujue
Hahaha.........karibu sana tupige soga za mwaka 47 πushuhuda wa kuzeeka kwakoππ
ni wivu auππππOoh haya mweye sameja wake
Salama Mkuu, habari za siku? Umekuwa adimu sana humuNakusalimia mzee wangu. Mzima wewe
waswahili husema "lisemwalo lipo, kama halipo basi laja",,, lazima utakua usharamba kajukuu kamoja au upo mbioniπππ[/QUOTEHumu kuna hadithi nyingi za kutunga na kufikirika, ukizitilia maanani kwa umri wetu unaweza kupandisha kisukari bure π
You don't have to worry, all is good here
Itakua tuna pishana majukwaa nafurahi kukuona hapa.Salama Mkuu, habari za siku? Umekuwa adimu sana humu
Hayo mambo wazee hatufanyi mjukuuwaswahili husema "lisemwalo lipo, kama halipo basi laja",,, lazima utakua usharamba kajukuu kamoja au upo mbioniπππ[/QUOTE
Nimesha tupia na nimefutaa..ni wivu auππππ
Huenda, japo umri unavyosonga ndivyo tunavyojikuta kuwa busy zaidi ili kukimbazana na maishaItakua tuna pishana majukwaa nafurahi kukuona hapa.
Sema suuuπ€£Nakungojeaa hapa Leo nibahatikee
Tabia mbayaNimesha tupia na nimefutaa..
SuuuuuSema suuuπ€£