Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna anayependa kugombana but Kuna watu hulazimisha. Hao wanaolazimisha ndio hupewa haki uao
mimi hata nguvu ya kujibishana na mtu anae lazimisha ugomvi sina brother d,, atanipotezea muda wakati mim nina mambo mengi ya kufanya

nahisi siku nikikutana na mtu anaetaka kunitoa uhai makusudi ilihali sijakamilisha mambo yangu huyo ndo nitakula nae plate moja vingine huwa naviacha vipite kiroho safi
 
Mwenyewe sipendi ugomvi ila ukija na kichaa chako cha kukosa bwana huko, tutanyooshana vilivyo! Tajiri ana ma id sita sita kufatilia maisha ya watu ambao hatokaa akawajua! Kazi kweli😅
 
Hukomi tu na unavaa lonya🤣
Natamani nione huyo kalaba anavaaga za wapi😁
mai wangu uwezo wangu ndo ulipo ishia😆😆 siku nikipata pesa nitavaa styl na lonya zote ndo itakua bai bai

huyo tumuache sikuzote hatuwezi kufanana, as long tunanunua hayo malonya with our own money kwanin tuogope

hivi upo kwanza nipite naked👌💃
 
Tanzania hii kuna mtu havai used, vimalaya vya low class vinajua kutuhangaisha na fake ids🤣

Hebu pita la mama tuone hiyo ngozi na kimwili mi hoii😍
 
ndo nawew ushangae😆😆😆

nipe basi bro ako mmoja labda ataninunulia nguo za bei bei nisiendelee kufedheheka

hii lonya yangu ya bei nilitumiwa kutoka dar na ndugu yangu alininunulia elf 15👌
Hahaha kwetu wote makapuku mama hutaweza! Elfu 15 kibunda chote hicho? Tambara langu elfu 3 tu🤣

U look amazing mama! Kishepu tu🫠
Natoaje hili ngano langu niwe flat hivi🥹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…