Hatari sana, sema huu uzi umepitia mengi. Kuna kipindi mpaka wenyewe ukala Ban πNilijua tu hapatakucha salamaππΏππΏππΏ
Ndio uzi unaoongoza kwa ban na ndio uzi unaoongoza kwa fan wake kula banπHatari sana, sema huu uzi umepitia mengi. Kuna kipindi mpaka wenyewe ukala Ban π
Balaaa, halafu kipindi kile nilikuwa nasoma kimya kimya nikashangaa Kufuli kubwa πNdio uzi unaoongoza kwa ban na ndio uzi unaoongoza kwa fan wake kula banπ
Ile ya siku ile si sawa na kuwapa wachezaji red card mp aka na mpira wenyeweπππ
πππ alikuwa hataki kujua chochote ni Ban tuZilitembezwa ban mpaka nikasema moderator wa leo kapata mjani niniπ Halafu akamalizia na uzi wenyeweπ€£π€£π€£
Pole sana Mdau πDuhh niliishia sijui ya 17
JF imeanza kuchangamka sasa π πHapana ngoja twende halftime kwanza! Timu zijipangeπ
Anza ni nzuri sanangoja nianze kuifatilia leo
Dad kwanini lakini π π
Jamanii nakuja nawe umepigwa banπ₯Uwanja uwe safi leo saa 3 kuna pambano, hakuna kuita mods wanoko tunawajua..!!
Wenye picha zenu tulieni nazo mtaendelea kesho..!! Leo uwanja uko busy..!!
Hakikisha una popcorn na utulie kushuhudia which is which.. SAWASAWA? πΉπΉ
Nuzulati wifi njoo kijiwe kina uzinduzi huku
πππππkatika watu natamani kuonana nao ni wewe una U comedi mwingiπ«Άπ»Jamani njooni huku Binti wa zamani win-one na wengine muwatag mje huku kuna nini sijui nyeusi tiii πΉπΉπΉ
hebu anza wew dakitari wa ukoo
Kama kimondoooohebu anza wew dakitari wa ukoo
nakusubir hapaKama kimondoooo