ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,740
- 42,164
Nyooooooomimi ni mgeni huku nina mwezi 1 tu kwaiyo lazima nisikilize nawenyeji wangu kina Lamo
Akupeleke choma ili unywe cha ya rangi vizuri..!! 😹😹Kwahiyo una msikilizi Lamo halafu unaniacha 🤔
Si ungesubiri kwanza twende vacation 😜et chai ya rangi mbona huna misimamo 😞
Mpuuzi sana misimamo inasoma zeroAkupeleke choma ili unywe cha ya rangi vizuri..!! 😹😹
Si unajua chai mwenzie baridi..!
Nimecheka eti “Hana misimamo”
Nyooooooo
Mgeni wa kuchovya wewe 😎
Anyway I'm single 🤪
Hii chai yako haina sukari😢
nina msimamo mkali sana tena huo msimamo halali mida yote umesimama. msimamo kwelikweli ShesRise_1Akupeleke choma ili unywe cha ya rangi vizuri..!! 😹😹
Si unajua chai mwenzie baridi..!
Nimecheka eti “Hana misimamo”
Nyooooooo
Mgeni wa kuchovya wewe 😎
Anyway I'm single 🤪
Hii chai yako haina sukari😢
Halafu usipende vya kuambiwa ungekuja ujionee 😉
Kuna chai zinatoa mpk mimba kuwa nazo makini..!! 😹😹😹Mpuuzi sana misimamo inasoma zero
Sema nini ukute chai yake yenyewe chunguuuu 😞😁
Mwambie aselfike sasa hivi tuthaminishe juzi sikuwepo..!! 😊nina msimamo mkali sana tena huo msimamo halali mida yote umesimama. msimamo kwelikweli ShesRise_1
alituma picha yake hadi leo imeganda kichwani kwangu ameniachia trauma kwaajili ya uzuri wake mimi kumuona inatosha ShesRise_1 usitume kuna watu wanamendea hukuuMwambie aselfike sasa hivi tuthaminishe juzi sikuwepo..!! 😊
ShesRise_1 haya muremboo tupia kitu tusafishe macho..!!
HakunaaaaaKuna chai zinatoa mpk mimba kuwa nazo makini..!! 😹😹😹
Ulikua wapi😁Mwambie aselfike sasa hivi tuthaminishe juzi sikuwepo..!! 😊
ShesRise_1 haya muremboo tupia kitu tusafishe macho..!!
Habu tuone🤪nina msimamo mkali sana tena huo msimamo halali mida yote umesimama. msimamo kwelikweli ShesRise_1
We jamaa uongo wako haupimikialituma picha yake hadi leo imeganda kichwani kwangu ameniachia trauma kwaajili ya uzuri wake mimi kumuona inatosha ShesRise_1 usitume kuna watu wanamendea hukuu
[emoji23][emoji23][emoji23] ila udugu jamaniii.Mji Una masharti mpk ufanikiwee [emoji81][emoji81]
Wazee wa hizi kazi, sema uzi huu umepoa sana km uji wa magimbi..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Nikikumbuka zile ban km utitiri ile siku nacheka sana..!!
Nkamu wangu alirusha ngunyani akafutiwa, akarusha pic ya Max akala ban [emoji1787][emoji1787][emoji81][emoji81]
Walistaafishwa kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wale mods waliahama kituo cha kazi? [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Vacation ni lini kwani tukamtafute mdogo wake aunt mshunu😹😹😹 Mnapelekwa vacation kunywa chai ya rangi?
Haya sasa, kumekuchaaa!! Ma HB wamejoin Selfie.