Yani nimeshangaa ghafl tu wametia timu wametelekeza wanaume wenzao kule! Vikao vyao hatuwaingilii ila vyetu sasa huwakosi! Anzisha ata nyuza za ovulation wapo๐๐๐พ Kama huyu foff sijui ana notf gani kila muda kajaa tele huku๐๐ฝโโ๏ธ๐๐ฝโโ๏ธ