Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,792 Dec 9, 2019 #40,741 Don Clericuzio said: Itabidi tuanze kuandikiana barua aisee. Nahisi kwa mwandiko huu nitakesha naisoma. Click to expand... Ngoja nianze mimi,nitakuandikia barua ndefu kidogo weekend hii
Don Clericuzio said: Itabidi tuanze kuandikiana barua aisee. Nahisi kwa mwandiko huu nitakesha naisoma. Click to expand... Ngoja nianze mimi,nitakuandikia barua ndefu kidogo weekend hii
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,792 Dec 9, 2019 #40,742 Hawachi said: Jinsi unavyotudanganya mpendwa siku utakayo weka nagawa buku kwa kila member. Click to expand... Hiyo buku kila member wameshaikosa manake picha yangu sidhani kama nitaweka😂😂😂
Hawachi said: Jinsi unavyotudanganya mpendwa siku utakayo weka nagawa buku kwa kila member. Click to expand... Hiyo buku kila member wameshaikosa manake picha yangu sidhani kama nitaweka😂😂😂
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,792 Dec 9, 2019 #40,743 Hawachi said: Maandishi ni picha 😕 Click to expand... Maandishi yamepigwa picha
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 9, 2019 #40,744 joanah said: Hiyo buku kila member wameshaikosa manake picha yangu sidhani kama nitaweka😂😂😂 Click to expand... Dau nimepandisha buku kumi hapo vipi hutaweka.
joanah said: Hiyo buku kila member wameshaikosa manake picha yangu sidhani kama nitaweka😂😂😂 Click to expand... Dau nimepandisha buku kumi hapo vipi hutaweka.
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 9, 2019 #40,745 joanah said: Maandishi yamepigwa picha Click to expand... Ule miandiko ni mzuri darasani ulikuwa hupati usumbufu kuwaandikia wavivu au mwalimu kukuchagua kuandika ubaoni.
joanah said: Maandishi yamepigwa picha Click to expand... Ule miandiko ni mzuri darasani ulikuwa hupati usumbufu kuwaandikia wavivu au mwalimu kukuchagua kuandika ubaoni.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,792 Dec 9, 2019 #40,746 Hawachi said: Ule miandiko ni mzuri darasani ulikuwa usumbuliwi kuwaandikia wavivu au mwalimu kukuchukua kuandika ubaoni. Click to expand... Mimi ni miongoni mwa wavivu wa kuandika....hata shuleni nilikuwa naandika mara chache sana Niandikie watu ubaoni mwalimu anakuwa nafanya nini?😂😂 Yani nimfanyie kazi yake?
Hawachi said: Ule miandiko ni mzuri darasani ulikuwa usumbuliwi kuwaandikia wavivu au mwalimu kukuchukua kuandika ubaoni. Click to expand... Mimi ni miongoni mwa wavivu wa kuandika....hata shuleni nilikuwa naandika mara chache sana Niandikie watu ubaoni mwalimu anakuwa nafanya nini?😂😂 Yani nimfanyie kazi yake?
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 9, 2019 #40,747 joanah said: Mimi ni miongoni mwa wavivu wa kuandika....hata shuleni nilikuwa naandika mara chache sana Niandikie watu ubaoni mwalimu anakuwa nafanya nini?😂😂 Yani nimfanyie kazi yake? Click to expand... Hongera umesoma shule za walimu wanajua majukumu yao mimi nimeandika sana ubaoni ilibidi nikatae uwongozi wa darasa kuepuka usumbufu wa kuandika ubaoni.
joanah said: Mimi ni miongoni mwa wavivu wa kuandika....hata shuleni nilikuwa naandika mara chache sana Niandikie watu ubaoni mwalimu anakuwa nafanya nini?😂😂 Yani nimfanyie kazi yake? Click to expand... Hongera umesoma shule za walimu wanajua majukumu yao mimi nimeandika sana ubaoni ilibidi nikatae uwongozi wa darasa kuepuka usumbufu wa kuandika ubaoni.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,359 Reaction score 108,501 Dec 9, 2019 #40,748 Mbona hii na zile nyingine kama sio mtu mmoja? yna2 said: GudinaitiView attachment 1287198 Click to expand...
Mbona hii na zile nyingine kama sio mtu mmoja? yna2 said: GudinaitiView attachment 1287198 Click to expand...
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Dec 9, 2019 #40,749 Watu8 said: Mbona hii na zile nyingine kama sio mtu mmoja? Click to expand... Yule wa Google huyu wa facebook
Watu8 said: Mbona hii na zile nyingine kama sio mtu mmoja? Click to expand... Yule wa Google huyu wa facebook
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 9, 2019 #40,750 yna2 said: Yule wa Google huyu wa facebook Click to expand... Mpendwa 😂😂😂😂😂
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Dec 9, 2019 #40,751 Hawachi said: Mpendwa Click to expand... Niambie
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 9, 2019 #40,752 yna2 said: Niambie Click to expand... Una majibu magumu sana 😄😄
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,702 Dec 9, 2019 #40,753 Joowzey said: Kama ni yeye bas nimeghairi...hizi picha zinadanganya mnooo,filters ni usenge mtupu!! Click to expand... Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen short
Joowzey said: Kama ni yeye bas nimeghairi...hizi picha zinadanganya mnooo,filters ni usenge mtupu!! Click to expand... Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen short
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Dec 9, 2019 #40,754 Hawachi said: Una majibu magumu sana Click to expand... jamani Mimi..
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,445 Dec 9, 2019 #40,755 Karma umezamia huku? Siku hizi sikuoni kwenye nyuzi zingine.
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,709 Reaction score 35,702 Dec 9, 2019 #40,756 T14 Armata said: Acha masikhara mkuu kama kweli daah wakubwa wanafaidi Click to expand... sssssshh sina uhakika ujue
T14 Armata said: Acha masikhara mkuu kama kweli daah wakubwa wanafaidi Click to expand... sssssshh sina uhakika ujue
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 9, 2019 #40,757 lol nilijua tu hapa lazima nimeingia cha kiume,, mie series mvivu kufuatilia.. ArIeN said: Sijamaanisha imepigwa na flash bali 'the Flash'.. Ungekuwa mtu wa series sana ungeelewa Click to expand...
lol nilijua tu hapa lazima nimeingia cha kiume,, mie series mvivu kufuatilia.. ArIeN said: Sijamaanisha imepigwa na flash bali 'the Flash'.. Ungekuwa mtu wa series sana ungeelewa Click to expand...
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 9, 2019 #40,758 hadi atume eti Hawachi said: Rangi adimu kabarikiwa kwa kweli Click to expand...
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Dec 9, 2019 #40,759 EINSTEIN112 said: Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen short Click to expand... EINSTEIN112 said: sssssshh sina uhakika ujue Click to expand... Siyo Mimi mkuu ni mdada tu kutoka google
EINSTEIN112 said: Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen short Click to expand... EINSTEIN112 said: sssssshh sina uhakika ujue Click to expand... Siyo Mimi mkuu ni mdada tu kutoka google
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 Dec 9, 2019 #40,760 EINSTEIN112 said: Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen short Click to expand... Yna 2 ana mashavu makubwa namjua ndo maana nikasema sio yeye!
EINSTEIN112 said: Sina uhakika ni hisia tu maana wanafuta faster, mkiwahi muwe mnascreen short Click to expand... Yna 2 ana mashavu makubwa namjua ndo maana nikasema sio yeye!