win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,806
- 29,868
sikotayali nipe title ya trauma nikajifunze nawili matatu💃Bwana hebu tulia hapa tukupe maua yako😋
sikotayali nipe title ya trauma nikajifunze nawili matatu💃Bwana hebu tulia hapa tukupe maua yako😋
Dada tuliza komwe, huna nbavu😅sikotayali nipe title ya trauma nikajifunze nawili matatu💃
umekula mchana? hebu usinichekeshe nina swaumuAh hapana! Hata kama.. mtoto wa moto wewe 🔥
ninazo kwani haujaziona kwenye picha?Dada tuliza komwe, huna nbavu😅
Nile ya wapi dada nasubiri michango ya jf😅umekula mchana? hebu usinichekeshe nina swaumu
Nimeziona mrembo 🤗ninazo kwani haujaziona kwenye picha?
nahisi anazo notfc mpaka za nyuzi mpya🤣🤣🤣Na huyu mshamba_hachekwi sijui ana notfc. za selfika🤭
Hachezi mbali🤔nahisi anazo notfc mpaka za nyuzi mpya🤣🤣🤣
ukipata michango mingi naomba unigawie ya kufuturia jioni 🤗Nile ya wapi dada nasubiri michango ya jf😅
weeee hapa nitakua napita usiku kwa usiku mkiwa mmelala sitaki kesi 🤸♀️😁mi siamini kama mtu anaweza kupofuka em tuma tena tuone kama kweli
Usijali ngoja babu aje😂 shedesti kopakopa!ukipata michango mingi naomba unigawie ya kufuturia jioni 🤗
haya lete vitu sasaNimeziona mrembo 🤗
Umeanza uoga lini? Nimekuuliza una mbavu?😬weeee hapa nitakua napita usiku kwa usiku mkiwa mmelala sitaki kesi 🤸♀️😁
nitakutaftia wakili usijali we pita tu 😁weeee hapa nitakua napita usiku kwa usiku mkiwa mmelala sitaki kesi 🤸♀️😁
Wewe gen z kabisa unajizeesha. Unanata kabisa wewe.yani mshamba na dosho12 kwanini mpige chabo kwenye charting za mama zenu wadodo🤣🤣🤣 mkipofuka je?
au tum-amshe? si unajua mababu kwa kusinzia wapo vizuriUsijali ngoja babu aje😂 shedesti kopakopa!
Huu uzi una totoz mkuu.Na huyu mshamba_hachekwi sijui ana notfc. za selfika🤭
Atapitiliza kwa presha tumsubiri aamke mwenyewe🤗au tum-amshe? si unajua mababu kwa kusinzia wapo vizuri
mbavu zipo za kutoshaa kuhusu uogaa hapana sinaUmeanza uoga lini? Nimekuuliza una mbavu?😬