Selfika na JF: Snap it. Show it

kama umejua yaani, leo nimefunga biashara nimeenda kuchezea maji ndiyo narudi nyumbani,

nimetoa stress nyingi sana moyoni leo kiukweli, nitakuwa natoka kama hivi mara kwa mara..!

series ndiyo huwa my escape plan nikiwa na muda..!
Nimefurahi sana kusikia hivo Carleen itakusaidia kupunguza mawazo kuhusu rafiki yako. Ukihitaji mtu wa kuongea nae niko hapa kwaajili yako.
 
Vicoba vikitunogea ndio huwa tunajibless mwisho wa kikao๐Ÿ˜‚โ€ฆ mbona nimekuaga ulikuwa umelala? Si unaona ata we tangu jana ndio unarudi saizi๐Ÿ˜†
Sina wasiwasi nakuamini sana Seran umeianzaje jumapili yako lakini ewe roho na pumzi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ