si ndichi!! Lini umeniruhusu nizame.Kwani nilikublock πΉπΉ
Kaka mtu nilikua nakazia tu mchuchu! Dada ni mali haswa.Si dadako huyo?
We umeuonaje?? πΉπΉπΉ
Amen mnywani Samaleko !!!Tumemwakilisha
Nilivyopona kwenye Ile mwendokasi iliyochezea mawe pale kibo!Mfyuuuu!! πΉπΉπΉ
Uongo ulijificha mashambani πΉ
Aleikum Asalam ukty maho!!Amen mnywani Samaleko !!!
Mie pia mefurahi kukuona mnywani akeee!Aleikum Asalam ukty maho!!
Nimefurahi kukuona
πΉπΉ Chino bana, haya nimekuelewa nitaacha mlango wazi..!!si ndichi!! Lini umeniruhusu nizame.
Ulipiga hamza kanuni wapi na zile risasi? πΉπΉπΉNilivyopona kwenye Ile mwendokasi iliyochezea mawe pale kibo!
Ilibidi nipige hamza kanuni faster kwenda kumgurd dogo!!
Kuna shule mmoja Iko mbeya inaitwa mwakaleli ipo Kijiji Cha kandete. Shule ya kibabe sana wana tukuyu na mbeya wanaijua. Nilikua nyapara pale.( Nilifukuzwa shule pale nikarudi kupiga pepa.Ulipiga hamza kanuni wapi na zile risasi? πΉπΉπΉ
Chino ulivyo muoga wewe hata kupigana ushawahi kweli??
OyaaaOya mshkaji wangu upo
Hii na ihifadhiii Mimi mwaka huu nataka kuchakata 10pc ingekua vyema ukatupa mbinu.Unaishia kuwatania watoto wazuri, sema kuna codes ningekupa tatizo sasa hivi nimeacha ugomvi..!!
Nikisema tu watajua nimetoa siri zao.
Ila kuna vitu vidogo ukikaza unajipigia kwa maraha zako peke zako πΉπΉπΉ
πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ kwaheri sichelewi kuharibu..!!
Kuchuniana hivo vipi jamni πOyaaa
Abee