MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,316
- 25,452
Kaka wewe si ni jamaa yangu na huu ni mwisho wa mwaka ? Kuna haja mwaka uishe nikiwa na jambo moyoni ? Sema suuuu niseme kikubwa unilinde ikiwa nitapigwa maweMimi Nina anniversary nyingi nyingi TU.
Ni baba wa watoto wa tatu mmoja yupo standard five.