Selfika na JF: Snap it. Show it

Anza na na kibani changu? Afu no si unayo? Em sababisha bas leo, Dear P.
Namba yako nliifuta baada ya kupata taarifa tunakaguliwa simu zetu. Nlihofia usije nawewe ukakamatwa maana wewe ndio muhamasishaji mkuu wa maandamano. 😅 ngoja niangalie namna nikuunge hata bando la mwezi mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…