πππππShem kama shem π
Kesho kwenye maandamano ukinionea jirani yangu Tinsley nishtulie wallah? Sijaonana nae siku nyingi.Forever and alwayss mnywanii!
Takbirrrrrrrrrrrr!!!
Tupo mamtuπWajaaaa mpoooo??!!!
πππππ
Abeeeππ
Lock down imekuchosha?Abeeeππ
Acha tu, inachosha vibayaπββοΈLock down imekuchosha?
Mi nimekoma nimekaa ndani mpaka nimechoka nimezurura Insta mpaka sioni kipya tena nimezurura facebook mpaka nimechoka, you tube nimeangalia hadi show za zamani za kina Franco Lwambo Makiadi. Ila at least tangu juzi na jana kuna muda tunazururaAcha tu, inachosha vibayaπββοΈ
Mi nimekoma nimekaa ndani mpaka nimechoka nimezurura Insta mpaka sioni kipya tena nimezurura facebook mpaka nimechoka, you tube nimeangalia hadi show za zamani za kina Franco Lwambo Makiadi. Ila at least tangu juzi na jana kuna muda tunazurura
Labda tutaheshimiana, tuliowapa madaraka walifika point mbaya sanaDaaah! Sikuwahi kufikiria ipo siku tutafika hapa!! Inauma sana.
Walituzoea vibaya sana, japo bado mazoea yanaendelea.Labda tutaheshimiana, tuliowapa madaraka walifika point mbaya sana
Tricky nzuri ni hii kuwasalimia washirika wao na mali zaoWalituzoea vibaya sana, japo bado mazoea yanaendelea.
Is it tho? Sio ndio inaongeza chuki!!!Tricky nzuri ni hii kuwasalimia washirika wao na mali zao
Supporters wa huu mfumo katili ni muhimu kuwasalimiaIs it tho? Sio ndio inaongeza chuki!!!
Shem unapumua? ππππππ
kipyudaake ndiyo nini kwanza... hapana hakuna madahara nimepata...Kipyudaake vitasa havijapita naweye kweli???πππ
Paaah paah paahh hadi unasahau njia ππππ!!
π€£π€£π€£!!kipyudaake ndiyo nini kwanza... hapana hakuna madahara nimepata...
π Nitakufundisha..π€£π€£π€£!!
Hata naelewa sasa kiswahili nilifeligi asee!