Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,213
HUko viwanja bei sana mkuu πAma uko njoo goba
True anko πKaongo hakaπββοΈ
Uho mji kigamboni umekaaa kimwinyi mwinyi sijawai pakubaliHUko viwanja bei sana mkuu π
Miji imejaaa sana waswahili hii mkuu π π π Sema mie napapenda jinsi palivyo tulivu jioni naenda zangu kula mpepe baharini πUho mji kigamboni umekaaa kimwinyi mwinyi sijawai pakubali
Mh hapana nyumba zimekaa kimwinyi uko kaeni ninyi naweza maliza mwaka sijafika kigamboniMiji imejaaa sana waswahili hii mkuu π π π Sema mie napapenda jinsi palivyo tulivu jioni naenda zangu kula mpepe baharini π
ππππMh hapana nyumba zimekaa kimwinyi uko kaeni ninyi naweza maliza mwaka sijafika kigamboni
Muangalie fei kwanza ukooππππ
Ndio namcheki hapa huyu bidada ananichekeshaga sana nasubiria kumuona alia mtoto mzuri sana yuleMuangalie fei kwanza ukoo
Mimi nitaangalia marudio kesho saa mbiliNdio namcheki hapa huyu bidada ananichekeshaga sana nasubiria kumuona alia mtoto mzuri sana yule
Hakuna kupoamdogo mdogo tunamsahau slow slow..weekend hapo tunalewa tunasubiri trend mpya next week ffs!
Unatakiwa uelewe kabisa
Nipe kama dk 10 πAah hebu weka bwana
Weka tena.Hapana, itakua imekupita
Kabisa mkuu ππHakuna kupoa
Mmmmmmh!True anko π
Kwahiyo nimepitwa mama mchuNipe kama dk 10 π
Duh, ht kuni tag , sijapendaππEeh mam2π Nawasubiri tu wewe na min -me niweke paper 2π
Basi kesho tuko pamoja usijali kbs tutamwagilia utukufu hapa aiseeπDuh, ht kuni tag , sijapendaππ
Mi kesho nitaweka ya utukufu
Sahivi nimechoka balaa