Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Oct 9, 2025 #406,241 ephen_ said: Angetaka kumkomoa Aaliya, basi angeolewa na Jawad na kuhakikisha anamzidi Aaliyah kwenye industry ya mitindo. Kaolewa na Bassel kapoteza kila kitu na kamuumiza Bassel. Click to expand... Uko mbeleni jawad ana muoa na mtoto ni wa jawad basil ata kufa kwasababu ya fei kuongea ukwelii
ephen_ said: Angetaka kumkomoa Aaliya, basi angeolewa na Jawad na kuhakikisha anamzidi Aaliyah kwenye industry ya mitindo. Kaolewa na Bassel kapoteza kila kitu na kamuumiza Bassel. Click to expand... Uko mbeleni jawad ana muoa na mtoto ni wa jawad basil ata kufa kwasababu ya fei kuongea ukwelii
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,249 Oct 9, 2025 #406,242 Mimi nina kilo 75
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,836 Reaction score 132,245 Oct 9, 2025 #406,243 Mwachiluwi said: Af awe twiga kidogo na kashep ka mbalii Click to expand... Noma
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,990 Oct 9, 2025 #406,244 ephen_ said: Wewe mwenye mifupa mikubwa nyama kidogo lazima umzidi kg mwenye mifupa myembamba na minyama uzembe😂 Click to expand... Hata wanawake wengi wana maumbo makubwa, lakini mkipima uzito mnalingana, au unamzidi na pengine mnalingana..
ephen_ said: Wewe mwenye mifupa mikubwa nyama kidogo lazima umzidi kg mwenye mifupa myembamba na minyama uzembe😂 Click to expand... Hata wanawake wengi wana maumbo makubwa, lakini mkipima uzito mnalingana, au unamzidi na pengine mnalingana..
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Oct 9, 2025 #406,245 Vincenzo Jr said: Ewaaaa mkuu upo kama Mimi ni basi director kafanya roho mbaya kampa uhusika ule yule mtoto mzuri sana walahi Click to expand... Aliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sana
Vincenzo Jr said: Ewaaaa mkuu upo kama Mimi ni basi director kafanya roho mbaya kampa uhusika ule yule mtoto mzuri sana walahi Click to expand... Aliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sana
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,249 Oct 9, 2025 #406,246 Mwachiluwi said: Uko mbeleni jawad ana muoa na mtoto ni wa jawad basil ata kufa kwasababu ya fei kuongea ukwelii Click to expand... Fei kule kwao muimba bongo flava
Mwachiluwi said: Uko mbeleni jawad ana muoa na mtoto ni wa jawad basil ata kufa kwasababu ya fei kuongea ukwelii Click to expand... Fei kule kwao muimba bongo flava
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Oct 9, 2025 #406,247 Vincenzo Jr said: Fei kule kwao muimba bongo flava Click to expand... Bado mchanga ata ivyo
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,249 Oct 9, 2025 #406,248 Mwachiluwi said: Aliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sana Click to expand... Mitoto ya kilebanoni mizuri sana anko
Mwachiluwi said: Aliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sana Click to expand... Mitoto ya kilebanoni mizuri sana anko
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,376 Reaction score 80,249 Oct 9, 2025 #406,249 Tanesko washafanya yao
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Oct 9, 2025 #406,250 min -me said: Noma Click to expand... Una wapata umatumbini tu 😁
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Oct 9, 2025 #406,251 100 others said: Hata wanawake wengi wana maumbo makubwa, lakini mkipima uzito mnalingana, au unamzidi na pengine mnalingana.. Click to expand... Sasa wanawake wengi wana minyama tu
100 others said: Hata wanawake wengi wana maumbo makubwa, lakini mkipima uzito mnalingana, au unamzidi na pengine mnalingana.. Click to expand... Sasa wanawake wengi wana minyama tu
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 12,406 Reaction score 36,567 Oct 9, 2025 #406,252 Mwachiluwi said: Af awe twiga kidogo na kashep ka mbalii Click to expand... Hmm kwaio sisi wafupi tuelekee wapi?
Mwachiluwi said: Af awe twiga kidogo na kashep ka mbalii Click to expand... Hmm kwaio sisi wafupi tuelekee wapi?
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Oct 9, 2025 #406,253 Vincenzo Jr said: Mitoto ya kilebanoni mizuri sana anko Click to expand... Actually 100%
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,836 Reaction score 132,245 Oct 9, 2025 #406,254 Seran said: Umenikosa😂 Click to expand... Ushungi sio lazima mtu awe mwislamu tu ,hiyo ni mitindo ya mavazi tu
Seran said: Umenikosa😂 Click to expand... Ushungi sio lazima mtu awe mwislamu tu ,hiyo ni mitindo ya mavazi tu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,836 Reaction score 132,245 Oct 9, 2025 #406,255 Seran said: Hmm kwaio sisi wafupi tuelekee wapi? Click to expand... Wafupi mbona wazuri tu
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Oct 9, 2025 #406,256 Seran said: Hmm kwaio sisi wafupi tuelekee wapi? Click to expand... Uoande wa kushoto kuelekea kulia
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Oct 9, 2025 #406,257 Mwachiluwi said: Aliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sana Click to expand... Mimi naona faith yupo vizuri kuliko Aaliyah mbona? Macho ya faith hamuyaoni au, bado kile kishepu chake
Mwachiluwi said: Aliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sana Click to expand... Mimi naona faith yupo vizuri kuliko Aaliyah mbona? Macho ya faith hamuyaoni au, bado kile kishepu chake
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 12,406 Reaction score 36,567 Oct 9, 2025 #406,258 min -me said: Ushungi sio lazima mtu awe mwislamu tu ,hiyo ni mitindo ya mavazi tu Click to expand... Ndoivyo sasa kila nikiuweka haukai mahala pake😁
min -me said: Ushungi sio lazima mtu awe mwislamu tu ,hiyo ni mitindo ya mavazi tu Click to expand... Ndoivyo sasa kila nikiuweka haukai mahala pake😁
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 12,406 Reaction score 36,567 Oct 9, 2025 #406,259 Mwachiluwi said: Uoande wa kushoto kuelekea kulia Click to expand... Aarghh unanivuruga tu zaidi, naelekea mtwara ss😁
Mwachiluwi said: Uoande wa kushoto kuelekea kulia Click to expand... Aarghh unanivuruga tu zaidi, naelekea mtwara ss😁
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,836 Reaction score 132,245 Oct 9, 2025 #406,260 Vincenzo Jr said: Mitoto ya kilebanoni mizuri sana anko Click to expand... Kaka una alegi na wamatumbi wenzako vibaya 🤣
Vincenzo Jr said: Mitoto ya kilebanoni mizuri sana anko Click to expand... Kaka una alegi na wamatumbi wenzako vibaya 🤣