Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,211
Umefuta sijaona anko ππMifupa
Na mtotoπShemeji na wewe una mvesha sare za vitenge π
Jawad ni aina ya watu wanao amini wao hawakosei kabisa pia hajari hisia za wengine kabisaJawad muhuni muhuni sana Hana tofauti na yule ndugu yake aliekula beki tatu
Kile kitoto kina shobo sana sema Jawad alimpatia sana pale magetoni kiherehere kikamuishaππFey ana tamaa ana visasi vya kijinga sana asee ana umiza watu wengi kwa wakat mmoja kulikuwa na haja gani ya yeye kwenda kuchunguza aliya mama yake nan?
Umenikosaππ kiukweli napenda mdada avae sketi ndefu , pia akipiga na ushungi anakaa poa sana π€
Itakuwa hafanyi ivyoNa mtotoπ
Yupo kama yule ndugu yake tu tofauti Yao ndogo sanaJawad ni aina ya watu wanao amini wao hawakosei kabisa pia hajari hisia za wengine kabisa
Nani sasaπItakuwa hafanyi ivyo
Aisee?Mifupa
Sio mnene ila ana mifupa mizito, mtu wa hivi akipungua kwa kujinyima kula anaporomoka anabaki mifupa tu na kg kushuka ni kidogo mnoMiguu ina onyesha lakin
Brother mambo vipiAisee?
Af mm namuona wa kawaida aliya ndio pisi kaliiKile kitoto kina shobo sana sema Jawad alimpatia sana pale magetoni kiherehere kikamuishaππ
Ohhh nimekuelewa sasaSio mnene ila ana mifupa mizito, mtu wa hivi akipungua kwa kujinyima kula anaporomoka anabaki mifupa tu na kg kushuka ni kidogo mno
Angetaka kumkomoa Aaliya, basi angeolewa na Jawad na kuhakikisha anamzidi Aaliyah kwenye industry ya mitindo.Fey ana tamaa ana visasi vya kijinga sana asee ana umiza watu wengi kwa wakat mmoja kulikuwa na haja gani ya yeye kwenda kuchunguza aliya mama yake nan?
Una mtuKumbe mnene π€
Af awe twiga kidogo na kashep ka mbaliiπ kiukweli napenda mdada avae sketi ndefu , pia akipiga na ushungi anakaa poa sana π€
Wewe mwenye mifupa mikubwa nyama kidogo lazima umzidi kg mwenye mifupa myembamba na minyama uzembeπAisee?
Nimeelewa.Kuna watu wana mifupa yenye maumbo makubwa tu , kg zao zinakua nyingi kutokana na structure ya mifupa yao .
Single boyUna mtu