Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,192
ππππ Siku za mwisho hizi aisee vipi jana Basel kafanyaje maana jana nimeshinda nje ya mji kidogoYeah diara hayupo golini! Siumei
Wamekaaje?Nipo hospital kuna wanaume wawili pozi walilokaa aibu naona mimi.
Hahahah tupia hilo hekalu na sisi tusalimo humoMama Wachungaji haturuhusiwi kujianika, miili yetu ni hekalu la bwanaπ
Usinikumbushe machungu! Jana nimelia Bassel kanilizaππππ Siku za mwisho hizi aisee vipi jana Basel kafanyaje maana jana nimeshinda nje ya mji kidogo
SitakiWamekaaje?
UsijianikeMama Wachungaji haturuhusiwi kujianika, miili yetu ni hekalu la bwanaπ
Nyie we na nani? Ukibaki mwenyew utasema nitupie japo mguu vingine ni mali ya bwana..Hahahah tupia hilo hekalu na sisi tusalimo humo
Una miguu ya kutupia au ni tufito mama mchungaπ€£Nyie we na nani? Ukibaki mwenyew utasema nitupie japo mguu vingine ni mali ya bwana..
Yani ngoja nikipiga picha nimevaa kama gunia, ana bahati kanisani kwetu Tunavaa suruali pia..Usijianike
Weka picha yenye utukufu mtu akiona anasema yes huyu ni ma mch...
ππ
Tufito nmekuwa mchagaπ mguu upoππ½Una miguu ya kutupia au ni tufito mama mchungaπ€£
Wamw kunja nne af wana angaliana usoni sio π€£Nipo hospital kuna wanaume wawili pozi walilokaa aibu naona mimi.
Acha hizo na weweπUsijianike
Weka picha yenye utukufu mtu akiona anasema yes huyu ni ma mch...
ππ
HahahaYani ngoja nikipiga picha nimevaa kama gunia, ana bahati kanisani kwetu Tunavaa suruali pia..
Si km zile zangu atawekq usijaliAcha hizo na weweπ
Dah ya utukufu ata kupiga nayo picha kimbembe mwanguπ€Hahaha
Sisi nilipo ss hatuvai hawaruhusu
Ila nilikotokq tulikuwa tunavaππ
Hapana sio ya gunia najua ipo ya utikufu
Duh nipo naangalia marudio hapaUsinikumbushe machungu! Jana nimelia Bassel kaniliza
Kama zile zako nzuri sana , hapo sawa ila ageuke kidogo .Si km zile zangu atawekq usijali
Nampa muongozoππ