Selfika na JF: Snap it. Show it

Kaka mimi napiga tizi kama chizi , pia nakula pombe na wewe hauwezi gundua kama mimi nakula pombe kwa mtazamo tu
Sio mbaya kama unapiga tizi..... kwa urefu huo na hizo kgs bado hauko pabaya.... ! Mm Mara chache mno wkend naweza gusa moja baridi moja moto....hapa nna miez sijagusa πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…