Selfika na JF: Snap it. Show it

Askari Doria, tukifikiri tupo peke yetu kumbe mpo mmekodoa tu 🀣🀣🀣

siyo kikuku, shanga za kinyamwezi hizo 🀣🀣
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… zapendeza aiseee.. akiwa na ka shanga kamoja flani hivi pale kwa kiuno, zile za wa Russia, naishiwa pawaaa kabisa na kufaaaa
 
😹😹😹 Pole sana, lakini tabia ya mtu mmoja sio ya kabila lote..!!

Si kaanza kujirudi, kaeni chini myazungumze..!!
Wahenga walionaga mbali sana

trust me!!

Mbaya zaidi unatemwa alafu Bado unarushwa roho!! hahaha alinipagawisha sana.

Sababu ya Mimi kua na dogo alimpeleka sehemu nyingine kulelewa Ili Aishi na jamaa yake vizuri. Huko ndiko nilipomfuata dogo na kuanza kuishi nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…