Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Chino sija wahi kula kuku wenu hao wasio na baba, nakula jogoo la kimanyema lililo shiba mtama.Kunywa maji mengi mnywani!!
Achana na ulaji wa mabroiler kama Intelligent businessman ambayo yanamfanya anaumuka kama amila na kujikuta kijeba kumbe ni kinda tu la 2004.
Diet iko vizuri unamaintain body hongeraaa! Nimeona pale kitu cha ugali samaki na mazaga kibaoooo!Kunywa maji mengi mnywani!!
Achana na ulaji wa mabroiler kama Intelligent businessman ambayo yanamfanya anaumuka kama amila na kujikuta kijeba kumbe ni kinda tu la 2004.
Hahaha eti mazaga kibao!!Diet iko vizuri unamaintain body hongeraaa! Nimeona pale kitu cha ugali samaki na mazaga kibaoooo!
Karibu sana mnywani Nipo na stock ya kushatroo hapaHahaha eti mazaga kibao!!
Nomemisi vitu vya sangara na ndizi tu!
Sijui lini tena ntakuja BK
Hapo nguvu za kiume zipo za kutosha baba mshunuu ๐น๐ช
Nini lakini kutiana presha! Niliingiwa na hofu sana mtoto mzuri.Semaji langu ๐
kabali yangu!!! Nisipokuona naishiwa power.Chinno wangu ๐๐ฅฐ
Chino Yuko simple sana!! Si umeona madiko diko yanguHapo nguvu za kiume zipo za kutosha baba mshunuu ๐น๐ช
๐น๐น๐น Nimefika powerbank yakokabali yangu!!! Nisipokuona naishiwa power.
Na nilivyo mvivu jikoni awww mpishi nimepata na baby nimepata ๐Chino Yuko simple sana!! Si umeona madiko diko yangu
Soon nakufungulia pm baba mshunuu okay? ๐นjamaa si kajimaliza tu!! kama chino alivojimaliza. hahaha.
embu legeza kamba hizo! haha
๐น๐น Braza waiti mzima?Mimi ni mweupeeeee kiasi nikiwa maskani Huwa naitwaga brother White.
Ila wanawake weusi SINAGA hisia nao hata avue nguo
Ni hb kinyama ๐Mimi sijamuona aiseeh๐โโ๏ธ
hahaha!! Afu ujue kipindi una kamba mguuni ilikuwa wazi kabisa sijui nilifeli wapi kipindi kile.Soon nakufungulia pm baba! mshunuu okay? ๐น
Pole baba mshunuu ๐Nini lakini kutiana presha! Niliingiwa na hofu sana mtoto mzuri.
Wasiojulikana Kuna mda wanafanya tuwaze sivyo ndivyo!Pole baba mshunuu ๐
Nitakupa email uwe unanicheck huko km sipo active JF