makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Sep 13, 2025 #405,341 ibumex said: wangu kaenda jando, hatumii viagra unamsingizia Click to expand... Sio kwa vijana wa siku hizi. Kila siku anakuja kuomba maujanja ππ€£ Mjukuu basi usije, kwanza nakubembeleza, utamu wenyewe wa kwangu, usikute huna burudani, unakuja nikopa nguvu zangu.. π€£π
ibumex said: wangu kaenda jando, hatumii viagra unamsingizia Click to expand... Sio kwa vijana wa siku hizi. Kila siku anakuja kuomba maujanja ππ€£ Mjukuu basi usije, kwanza nakubembeleza, utamu wenyewe wa kwangu, usikute huna burudani, unakuja nikopa nguvu zangu.. π€£π
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,708 Sep 13, 2025 #405,342 ibumex said: tatizo babu yangu anatabia za kifataki mno Click to expand... Sio yeye, tatizo ni baridi Yaani sisi na baridi huwa ni tofauti kabisa na Uzee huu π€
ibumex said: tatizo babu yangu anatabia za kifataki mno Click to expand... Sio yeye, tatizo ni baridi Yaani sisi na baridi huwa ni tofauti kabisa na Uzee huu π€
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,988 Sep 13, 2025 #405,343 makaveli10 said: We mtoto, unakuwa hapa tunakuona, unafuta kamasi kama chata la nike, leo hii unaleta kibesi, mtahama humu, nyauba we π€¬π‘π€¬π€¬. ππ€£ Click to expand... Wewe silaha Yako ni kulaani tu... Hata juzi umeambiwa pesa ya tumbaku haipo unataka kumwaga radhi utoe laana... Mzee Leo njaa ikikutandika utakuta chakula mezani, sie tunaenda kulala...
makaveli10 said: We mtoto, unakuwa hapa tunakuona, unafuta kamasi kama chata la nike, leo hii unaleta kibesi, mtahama humu, nyauba we π€¬π‘π€¬π€¬. ππ€£ Click to expand... Wewe silaha Yako ni kulaani tu... Hata juzi umeambiwa pesa ya tumbaku haipo unataka kumwaga radhi utoe laana... Mzee Leo njaa ikikutandika utakuta chakula mezani, sie tunaenda kulala...
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Sep 13, 2025 #405,344 Mahondaw said: So beautiful Click to expand... Asante
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Sep 13, 2025 #405,345 Ambition plus said: Iko wap? Click to expand... Haipo bhana
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Sep 13, 2025 #405,346 100 others said: Wewe silaha Yako ni kulaani tu... Hata juzi umeambiwa pesa ya tumbaku haipo unataka kumwaga radhi utoe laana... Mzee Leo njaa ikikutandika utakuta chakula mezani, sie tunaenda kulala... Click to expand... Na kesho sikupi dawa za kusimamia ukucha vizuri. Na pia nitawapiga chabo.. haiwezekani maini haya ule pekee yako kijana. π€£π€£
100 others said: Wewe silaha Yako ni kulaani tu... Hata juzi umeambiwa pesa ya tumbaku haipo unataka kumwaga radhi utoe laana... Mzee Leo njaa ikikutandika utakuta chakula mezani, sie tunaenda kulala... Click to expand... Na kesho sikupi dawa za kusimamia ukucha vizuri. Na pia nitawapiga chabo.. haiwezekani maini haya ule pekee yako kijana. π€£π€£
Ambition plus JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 6,403 Reaction score 12,020 Sep 13, 2025 #405,347 ephen_ said: Haipo bhana Click to expand... ππΏ
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Sep 13, 2025 #405,348 makaveli10 said: Sio kwa vijana wa siku hizi. Kila siku anakuja kuomba maujanja ππ€£ Mjukuu basi usije, kwanza nakubembeleza, utamu wenyewe wa kwangu, usikute huna burudani, unakuja nikopa nguvu zangu.. π€£π Click to expand... saivi ndo unajidai et "sizitaki mbichi hizi" em kalale babu kuna nimonia inaua wazeeπ π π π
makaveli10 said: Sio kwa vijana wa siku hizi. Kila siku anakuja kuomba maujanja ππ€£ Mjukuu basi usije, kwanza nakubembeleza, utamu wenyewe wa kwangu, usikute huna burudani, unakuja nikopa nguvu zangu.. π€£π Click to expand... saivi ndo unajidai et "sizitaki mbichi hizi" em kalale babu kuna nimonia inaua wazeeπ π π π
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Sep 13, 2025 #405,349 Grahams said: Sio yeye, tatizo ni baridi Yaani sisi na baridi huwa ni tofauti kabisa na Uzee huu π€ Click to expand... si amfate bibi tu jamn mbona simpoπ€
Grahams said: Sio yeye, tatizo ni baridi Yaani sisi na baridi huwa ni tofauti kabisa na Uzee huu π€ Click to expand... si amfate bibi tu jamn mbona simpoπ€
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,708 Sep 13, 2025 #405,350 ibumex said: si amfate bibi tu jamn mbona simpoπ€ Click to expand... Umewahi kuona wapi gari bovu likavutwa na gari bovu Mjukuu π
ibumex said: si amfate bibi tu jamn mbona simpoπ€ Click to expand... Umewahi kuona wapi gari bovu likavutwa na gari bovu Mjukuu π
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,988 Sep 13, 2025 #405,351 makaveli10 said: Na kesho sikupi dawa za kusimamia ukucha vizuri. Na pia nitawapiga chabo.. haiwezekani maini haya ule pekee yako kijana. π€£π€£ Click to expand... Pesa ya ugoro na tumbaku sahau... π€£
makaveli10 said: Na kesho sikupi dawa za kusimamia ukucha vizuri. Na pia nitawapiga chabo.. haiwezekani maini haya ule pekee yako kijana. π€£π€£ Click to expand... Pesa ya ugoro na tumbaku sahau... π€£
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Sep 13, 2025 #405,352 ibumex said: saivi ndo unajidai et "sizitaki mbichi hizi" em kalale babu kuna nimonia inaua wazeeπ π π π Click to expand... Mwaka wa 70+ huu toka nizaliwe, hiyo nimonia ikisikia jina langu inakimbia, kipindi cha miaka ya nyuma wagonjwa wa nimonia walikuwa wanatibiwa kwa kuitwa jina langu, au kuletwa mbele yangu, nimonia inaavyoniogopa π€£π
ibumex said: saivi ndo unajidai et "sizitaki mbichi hizi" em kalale babu kuna nimonia inaua wazeeπ π π π Click to expand... Mwaka wa 70+ huu toka nizaliwe, hiyo nimonia ikisikia jina langu inakimbia, kipindi cha miaka ya nyuma wagonjwa wa nimonia walikuwa wanatibiwa kwa kuitwa jina langu, au kuletwa mbele yangu, nimonia inaavyoniogopa π€£π
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Sep 13, 2025 #405,353 ibumex said: si amfate bibi tu jamn mbona simpoπ€ Click to expand... Gari bovu, huvutwa na nzima mjukuu ππ€£
ibumex said: si amfate bibi tu jamn mbona simpoπ€ Click to expand... Gari bovu, huvutwa na nzima mjukuu ππ€£
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Sep 13, 2025 #405,354 100 others said: Pesa ya ugoro na tumbaku sahau... π€£ Click to expand... Usifanye hivyo kijana.. π€£π
100 others said: Pesa ya ugoro na tumbaku sahau... π€£ Click to expand... Usifanye hivyo kijana.. π€£π
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Sep 13, 2025 #405,355 Grahams said: Umewahi kuona wapi gari bovu likavutwa na gari bovu Mjukuu π Click to expand... hivi nyinyi wazee mbona mmechangamka hivyoπ π π kubalini tu mmezeeka msije kufia kwenye vifua vya watu alaa
Grahams said: Umewahi kuona wapi gari bovu likavutwa na gari bovu Mjukuu π Click to expand... hivi nyinyi wazee mbona mmechangamka hivyoπ π π kubalini tu mmezeeka msije kufia kwenye vifua vya watu alaa
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,770 Reaction score 50,210 Sep 13, 2025 #405,356 ephen_ said: Asante Click to expand... Mng'ao 100%
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Sep 13, 2025 #405,357 100 others said: Pesa ya ugoro na tumbaku sahau... π€£ Click to expand... umesahau na ya kahawa
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,009 Reaction score 9,127 Sep 13, 2025 #405,358 makaveli10 said: Gari bovu, huvutwa na nzima mjukuu ππ€£ Click to expand... ebu huko na nimekurecord bibi akifika tu nampa ushahidi
makaveli10 said: Gari bovu, huvutwa na nzima mjukuu ππ€£ Click to expand... ebu huko na nimekurecord bibi akifika tu nampa ushahidi
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Sep 13, 2025 #405,359 Mpaji Mungu said: Mng'ao 100% Click to expand... Kiaje
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,603 Sep 13, 2025 #405,360 makaveli10 said: Ushamaliza? Click to expand... Ndio ndio. Haya tupia nione.