kwanini sasa unataka kufanya hivyo,,, haufananii bwana em acha kujitesaPotelea pote.. nikichanganya mafile ujue ajali kazini..
Unakuta last comment 2 days ago kumbe mtu yupo online anazunguka anaku zoom tu...
Nipo kwa shemeji mimi ni mtunza bustani tu usitishike😂I see,, sema nini unaishi buanaaa,, jana sijui juzi nimeona picha ya sitting room yako nikatoka udenda 🤣🤣🤣🤣🤣
mtunza bustani huwa unaruhusiwa kwenda jikoni kupika? ebu tokaaaaaaa🤣🤣🤣Nipo kwa shemeji mimi ni mtunza bustani tu usitishike😂
Naijua hio..kwanini sasa unataka kufanya hivyo,,, haufananii bwana em acha kujitesa
Boss wangu kaniambia niwe free kama nipo homemtunza bustani huwa unaruhusiwa kwenda jikoni kupika? ebu tokaaaaaaa🤣🤣🤣
haya sawa ngoja nikuache ila nimekalili muandiko wako,, soooooo nitakuumbua tu🤣Naijua hio..
hahahah nimempenda sana boss wako,,, nitafutie connection basi nije kukusaidia kuosha sufuria🤗Boss wangu kaniambia niwe free kama nipo home
Uje dar na nauli ya kurudia 😂hahahah nimempenda sana boss wako,,, nitafutie connection basi nije kukusaidia kuosha sufuria🤗
NzuriMwachiluwi 100 others maneno kidogo picha nyingi tafwazali sana
nikitoka mimi anafata huyo kitinda mimba🤗😅Nzuri
Umependeza sana.. 😘Mwachiluwi 100 others maneno kidogo picha nyingi tafwazali sana
nauli ya kutoka huku Bush kwetu mpka dar nishapata mtaji wa mboga za majani ujue🤣Uje dar na nauli ya kurudia 😂
thanks beib😍Umependeza sana.. 😘
Basi macho yako mabovu maana chapati lain inaliwa Hadi na kibogoyoChapati ngumu izo naziona tu 😂
Nakutania tuBasi macho yako mabovu maana chapati lain inaliwa Hadi na kibogoyo
Kuongeza Tu confidence mkuu,. Bila hivyo ntawaonea aibu naofanya nao kibaruaKwa nn unakunywa asbh ? Wine inalegeza kinoma, utajickia mvivu mvivu, hata kama ulikuwa na safari zako utaghairi utaona bora upumzike
Vipi lakini unaendeleaje?Nakutania tu
Nip wellVipi lakini unaendeleaje?