T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,097
- 30,500
Marhabaanakusalimia mwaya๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Bado unakunywaga tu?View attachment 3448872Its furahi day, mchumba karibu Saint Anne
Naachaje mchumba? ๐Bado unakunywaga tu?
Hii kitu tamu sanaView attachment 3448872Its furahi day, mchumba karibu Saint Anne
Ipo vizuri sana mkuuHii kitu tamu sana
Nipo hapa Rasi ๐
Fanya kamoja basi ,chap kama umemeNipo hapa Rasi ๐
Aiseee!!Naachaje mchumba? ๐
Mida bado ya kuweka pic mchumbaAiseee!!
Hatari sana
Haya weka picha yako sasa
Mida ndio hiiMida bado ya kuweka pic mchumba
๐น๐น๐นHahahaha kumbe๐ ila picha zangu zote ni mimi ujinga wa kupost picha za mwanaume mwingine na mimi ni mwanaume siwezi fanya kamwe
๐น๐น๐น Elimu ya mamodo au sio?Dah! Ni elimu tu dada angu ukielimishwa huto sema haya unayo yazungumza.
Asante na karibuuu
Hebu selfika pic ya kueleweka mxiewww ๐นKabali yake chino.
Ss hivi tupia baadae sitaona ๐Nitaselfika tu