win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 2,706
- 7,932
mna maneno humu khaaa 😆😆 siku vikiwapanda mnatugeuka🤣🤣🤣🤣 esp lamo wako huyKomaa naye huyo. Upate kuku safi wa kienyeji.
mna maneno humu khaaa 😆😆 siku vikiwapanda mnatugeuka🤣🤣🤣🤣 esp lamo wako huyKomaa naye huyo. Upate kuku safi wa kienyeji.
Kwahiyo mawinga tunawauzia famba 😹😹Misinterpretation.
Uzi umepata.
Tena utapata ule og wenyewe.( Ndio ilikua tafsiri yangu)
Hahaha wakulima tukiamua tunaweza.
kwahiyo yule mwingine haumtaki tena jamn😔 wakati alisema atanipa dunia🤣🤣Nishachukua advance 😹😹😹
Si bora uolewe na tajiri kuliko walevi kina min 🤣
😹😹😹 wacha weeh pedezee MinSasa laki tano nayo ni pesa
Kuna nini tena mnaniita nilikuwa nimelala...?😻😻🥰🥰
Ibu wangu 😘
JF ina visu sio pouwa..!!
Check chuma hiki cha mjerumani..!!
Ki portable cha kwendea nacho Dubai weekend..!!
100 others hongera kwa kumiliki pisi kali
Pisi imenyooka km rula.,!! Awwww 😻😻
Anakupaje dunia yupo kwa mtogole? 😹😹kwahiyo yule mwingine haumtaki tena jamn😔 wakati alisema atanipa dunia🤣🤣
Uzuri vijora vyako ni og tokea Somali landKwahiyo mawinga tunawauzia famba 😹😹
mi ndo alinambia hivyo nikamuamin siunaelewa lavu izi blaindi🤣🤣🤣🤣Anakupaje dunia yupo kwa mtogole? 😹😹
Ibumex umepita kimya...100 others nakuona unapita kimya kimya
Haha; uzuri hata nafasi ya udaka machozi Yako pia anaimudu sana.aiii tatizo huyo sumbai kachelewa kidog tuuu,, angewahi ningekuwa wake,,, kuhusu lamo huyu nammudu ni dada angu kutoka kwa mjomba 😆
haujakuwepo alf nakudai jana ulinikimbiaIbumex umepita kimya...
Hatoboi🤣Hahahaha daah 😂 anakaa mbezi beach Africana next to the waves pale
Kausha ma mtu😂😂Halafu nishakujua ujue nikutaje?? 😹
Kwa hio nipite?haujakuwepo alf nakudai jana ulinikimbia
Kuku kienyeji ni yutiaiiiiKomaa naye huyo. Upate kuku safi wa kienyeji.