Nachukia sana coz mda mwingine nafosiwa ujue na isitoshe nimelewaπ€£Nakuzingua! Huyo wewe ila wa siku ile sio
πΉπΉπΉ Min una sura nyingi km agano la kale ujue..!!Huyo ephen_ apinge hii sio picha yangu nimpe pesa gademiiit View attachment 3445601
PoleNachukia sana coz mda mwingine nafosiwa ujue na isitoshe nimelewaπ€£
Hiyo ndio sura yangu halisi , ukitaka kuniona lamo pm ipo wazi kabisaπΉπΉπΉ Min una sura nyingi km agano la kale ujue..!!
Mara utume una dred, mara mweusi, ghafla umekuwa mweupe, hatujakaa vizuri mwembamba, data hatujazima ushakuwa mnene una body la mazoezi..!!
Sikiza mademu tunataka sasampa hatutishiwi na sura πΉπΉπ€£
Haya weka sasa sura yako og hapa mshkaji wangu..!! πΉ
Wewe ndio GOT wangu.We nawe acha tamaa lione πΉπΉπΉ
Chino ujue unanizoea sana.!!
Unamsifiaje mwanamke aliyenizidi shepu babe wako πΉπΉπΉ
Ntakuacha talaka za idadi km ya wapiga kura waliojiandikisha daftari la tume..!! π€£
Ka jinga wewePole
Zile zingine zilikuwa za nani? πΉπΉHiyo ndio sura yangu halisi , ukitaka kuniona lamo pm ipo wazi kabisa
πΉπΉπΉ sikusamehiWewe ndio GOT wangu.
Figo zangu zitafeli mama
Pombe siwezi Mimi mama
Sana sana utamkuta chino mochwari.
ndo nimetoka kukusanya madeni ya vijora vyako,,, vipi upo nipite chap?π€ au bado unafunga hesabu za vikoba π€£π€£π€£π€£πΉπΉπΉ ibu selfika niliona umepita km kipanga hapa..!!
We nipo pita kwanza ndo uniletee hesabu mdogoangu πΉπΉπ€£ndo nimetoka kukusanya madeni ya vijora vyako,,, vipi upo nipite chap?π€ au bado unafunga hesabu za vikoba π€£π€£π€£π€£
haya tulia hapo hapoWe nipo pita kwanza ndo uniletee hesabu mdogoangu πΉπΉπ€£
Tuma tuoneZangu na nnazo nitume tena?
Chap chap sasa niko makini πΉπΉhaya tulia hapo hapo
πΉπΉπΉNdo nimeletwa hapa tenaa?! πππππ
Huku sasa tutapewa kifungo, mie sitakiiii.
Woiiiiih
ππππππ aaaah wee!!!πΉπΉπΉ
Na ndo ya uzi huu, tule ban ufe tuulilie matanga kisha ufufuke km Yesu..!! π€£
Kukuacha wewe ni mwiko ni laana iyo.πΉπΉπΉ sikusamehi