Nililewa nikahisi kama roho inatoka, nahisi joto ya ajabu nikaanza kulia nawalilia watu ambao walishafariki mwisho sikujielewa nilizima,
uzuri nilinywea nyumbani alafu ilikuwa mara yangu ya kwanza sikuwahi kunywa pombe kali.