Mimi now jimbo lipo wazi , mimi ni bata boy , napenda sana starehe hasa weekend, na weekend yangu ina anza Al hamis , kitu pekee sipendi ni kuombwa pesa mwanzoni mwa penzi aseee, nimetoka mbali sana , ila mimi ni baba wa binti yangu kamama na kijana wangu , napenda mapenzi na kufurahi na nikilewa si pendi judgement 🤣🤣🤣🤣